Tanzania, Picha za Mgomo wa Waalimu

Tanzania, Picha za Mgomo wa Waalimu

mwalimu wangu alienifundisha kidhungu form2 mwaka 1998 mpaka leo anatembelea phonex, thats 2bad.
Mi nawaunga mkono 100%
 
DSC08358-450x600.jpg
 

Wanafunzi wa shule ya msingi Makuburi manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wameuchapa usingizi baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kufundisha bila mafanikio, wiki iliyopita Chama cha Walimu CWT kilitangaza kuwa leo jumatatu walimu wa shule za Sekondari na Msingi wangeanza mgomo nchi nzima kutokana na kutofikia muafaka kwa madai yao dhidi ya Serikali.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)



Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabibo iliyopo wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiwa wamelala baada ya kuchoka kuwasubiri walimu kuja kuwafundisha madarasani .
 
mwalimu wangu alienifundisha kidhungu form2 mwaka 1998 mpaka leo anatembelea phonex, thats 2bad.
Mi nawaunga mkono 100%

Wewe umemsaidiaje mwalimu wako?
 
hatari sana kwenye taifa lenye utajiri mkubwa wa madini na mbuga za wanyama na vivutio mbali mbali vya kuliingizia taifa pato kubwa la kuwawezesha wananchi kupewa hudumu zote muhimu
 
KILA MADAI YA WAFANYAKAZI SERIKALI INASEMA HAINA UWEZO! SASA SERIKALI YA MH. JK INAWEZA NN?
Chagua jibu sahihi;
a) Safari za nje kila kukicha
b) Kuficha mabilioni Uswisi
c) Ufisadi,kama EPA
d) Kuuza twiga nje ya nchi
 
KILA MADAI YA WAFANYAKAZI SERIKALI INASEMA HAINA UWEZO! SASA SERIKALI YA MH. JK INAWEZA NN?
Chagua jibu sahihi;
a) Safari za nje kila kukicha
b) Kuficha mabilioni Uswisi
c) Ufisadi,kama EPA
d) Kuuza twiga nje ya nchi

all of the above
 
Kitaeleweka tu,vinginevyo darasani
itakuwa hivi:
a) 1 + 3 = 13
b) 73 - 3 = 7
c) 3 x 3 = 333
d) 7 x 2 = 77
Na kwenye physics usiseme,kila
formula itakuwa reciprocal.
That will be our plan B for us
science teachers.
SIPATI PICHA KWA NDUGU ZANGU
WA HISTORY,'BINADAMU WA
KWANZA ALIKUWA MBWA'...TWENDE
KAZ...!
 
Back
Top Bottom