JohnScott07
Member
- Oct 6, 2015
- 12
- 7
Those are some very beautiful photos. Thanks for posting. I plan on staying in Dar es Salaam for a while so it is reassuring to see such beauty.
Hapa inabidi nitembelee siku moja.!Chemka hot spring, hii ipo kilometer 40 ukitokia Moshi mjini Kuelekea Arusha kwa njia ya Barabara. chemchem hii imechua jina la kijiji iliyopo. Maji yake ni ya uvuguvugu na masafi sana, yametengeneza bwawa zuri lililo chini ya miti, bwawa hili lina kina cha mita saba (7)
Kwa mtanzania au Mtalii you will sure enjoy being here.
View attachment 328186
Hii ndio naisikia Leo.!Lake Chala, Kilimanjaro by Tanzania Tourism, on Flickr
Amaizing tz
napenda sana mazingira hayo.....ukiishi hapo safi kabisaARUSHA OUTSKIRTS
Arusha, City Outskirts by Tanzania Tourism, on Flickr
Arusha, City Outskirts by Tanzania Tourism, on Flickr
Arusha, Mount Meru View by Tanzania Tourism, on Flickr
aisee ni wapi uku? nimepapenda sana.......nawezaje kuijua hii sehemu.
nimepamiss Lushoto...hakika kuna mazingira mazuri sana....nili enjoy mara ya mwisho nilivyoenda.