emiliano jr boy
Member
- Jul 2, 2017
- 76
- 28
Kashikwa kiuno umeona eehuyo jamaa walitakiwa wampe kipigo kikali sana, ametuaibisha sana. sio ushabiki huo kwa mwanaume mtu mzima. wangekuwa vijana miaka 15 tungesema sawa, ila hilo jamaa linaonekana lina familia na watoto kabisa na limepata mzuka kwenda kukumbatia mwanaume mwenzie kwa staili ile, mzuka wa aina gani huo kama sio ushetwani.
tena kashikwa kiuno na mtu toka Uingereza kwa Cameron!Kashikwa kiuno umeona ee
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Muda wote mnawaza ngono.tena kashikwa kiuno na mtu toka Uingereza kwa Cameron!
Tanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hivi kumbe jamaa hakuruhusiwa kutumia usafiri wake?Nnaona amebebwa kama mfame
Haya yote umesema wewe lakini hakuna lolote!! Hili ni tukio la kawaida sana kutokeaHuyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
Ww ulitka iweje cz kama anabomu unatka tuwe kwenye nchi zilizokosa amani tang zmn nenda somalia mkumbatie rais uoneTanzania ndo nchi pekee dunian ukimkumbatia mtu maarufu kutoka nje
Unakamatwa
Samahanini sijavuta leo[emoji724] [emoji724]
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Watu mnawaza homose muda wote, hebu jiheshimunitena kashikwa kiuno na mtu toka Uingereza kwa Cameron!
Nakumbuka miaka ile mchezaji wa tennis Monica Seles alichomwa kisu na mtu uwanjani kwa mtindo huu huu.Huyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
We jamaa vipi mbona akina ronaldo messi wanakumbatiwa uwanjani uko kwao na kupiga selfie ....sio ujinga ni kawaida tu ila sema kwenye hatari nitakubaliHuyo Mtu alipangwa na Watu wa ' Mamlaka ' ili afanye hivyo kisha tukio hilo liache ' Kumbukumbu ' kwa Tanzania na pia litangazike kusudi hata Rooney mwenyewe ajue anakubalika Tanzania na pengine siku zijazo aje mwenyewe ' Kutalii ' na pia hilo tukio limefanywa ' makuudically ' kabisa ili Watu wengi wa huko ' Ulaya ' ambao wameliona washtuke, wahoji na wahamasike kuhusu Tanzania kisha na Wao wafikirie kuja ' Kuitembelea ' ili lengo zima la ' Utalii ' litimie.
Kwa ' Kanuni ' au ' Sheria ' za FIFA hicho Kitendo ni cha ' hatari ' sana ambapo wengi waliowahi ' kukifanya ' walipata ' adhabu ' Kali sana. Hebu tufikirie endapo huyo ' Jamaa ' labda angekuwa hana nia njema ya Rooney halafu alivyomkimbilia vile huku mfukoni mwake ana ' Silaha ' na ' Kumdhuru ' Rooney leo Tanzania ingeficha wapi aibu?
In short alichokifanya huyo ' Kijana ' ni ' uhuni ' wa kiwango cha ' kutukuka ' kabisa na hakikubaliki wala hakivumiliki na nilishangaa mno nilipoona Watanzania jana ' wanakifurahia ' huku Waandishi wa Habari wakilipa sana Kipaumbele utadhani ni jambo jema wakati lingeweza hata kuifanya Tanzania yetu ipewe ' adhabu ' au hata ' tufungiwe ' na FIFA.
Tuige ya maana kutoka kwa Wazungu ila tuache kuiga ' Upumbavu / Upopoma ' kutoka kwa Wazungu. Binafsi kile ' Kitendo ' kilinisikitisha mno, sijakipenda na naomba ' Wanaohusika ' wajitahidi kisije kujirudia tena kwani japo sisi ' Watanzania ' tumekisifia kana kwamba ' Jamaa ' ni ' Shujaa ' kwani kinaweza ' kuzitisha ' Timu / Klabu zingine kubwa za ' Ulaya ' ambazo zina Wachezaji ' nyota ' kuliko Rooney kutokuja tena Tanzania kwani watahofia ' Usalama ' wao.
Unamaanixha we mzunguTanzania ndio nchi pekee ambayo wananchi wake wanashangaa kila kitu na kulaumu! Hata visivyo halali..