Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Tanzania's sources of law are based on three main sources. These are; Constitution, Acts of Parliament/Local Law, Customary law and/or Religious law, Received Law, International Treaties and Conventions, By laws and/or Subsidiary Legislation and Orders/Circulars.Kaka kwasababu umeingiza neno busara, kwamba unadhani hakimu hakutumia busara, hapo umetumia uhuru wako wa kutoa maoni kama raia wengine, hupaswi kushutumiwa wala kulaumiwa, swali ni je sheria inasemaje katika hilo?, kwa sababu hakimu lazima atumie sheria katika kutoa maamuzi yake, ili kesho na keshokutwa akiulizwa kwanini alifikia maamuzi hayo, aweze kuwa na kimbilio, akisema alitumia busara tu na kupindisha sheria, sijui kama wanasheria walio wengi watamuelewa, kwa sababu busara au si busara inategemeana na mambo mengi sana
Bring those Turkana and Pokots to the Tanzania border, stupid!!Kama hao ngombe wangeku wa wapokot au waturukana wangezilejesha chini ya mwezi mmoja na hasara juu yake
Vipi ukiwaonya na ukawapa mifugo yao.Kila mtu anatakiwa kuwa na identity. Kuwa mpakani hakumaanishi identity is not something of a concern. Kwa upande mwingine kufuga kwa aina yao kwa sasa hailipi
Wao hujipanga kwa muda wa mwezi mmoja hivi na kujakufanya mashambulizi kwa jamii zilizo mpakani, hususan jamii za wachungaji ili wakomboe mifugo wao na hili wanapolifanya huacha kijiji kizima kwa maombolezoIngekuwaje Ama hao watu wapoje?
Tanzania ni inchi ya amani,chunga usije ukaombea inchi yako mabayaBring those Turkana and Pokots to the Tanzania border, stupid!!
Kaka mimi huwa ninakuwa mwoga sana kuzungumza kwa undani vitu ambavyo sio professional yangu, ninapenda kuzungumza zaidi vitu ambavyo ni common sense, kwa sababu mimi sio mwana sheria, ninahisi hata wewe sio mwana sheria, kwa hiyo hizi links ulizonitumia nitazisoma tu kupanua wigo wangu wa kuelewa mambo ya kisheria lakini sio kulumbana katika mambo ya sheria, huwa ninaheshimu sana professionalism sana.Tanzania's sources of law are based on three main sources. These are; Constitution, Acts of Parliament/Local Law, Customary law and/or Religious law, Received Law, International Treaties and Conventions, By laws and/or Subsidiary Legislation and Orders/Circulars.
University of Minnesota Human Rights Library
Kutokana na bandiko hili utaona kuwa hata international treaties such as EAC protocols are binding laws which our court system can cite, use in its judgement honour them and law eforncement agencies such as police needs to honor and respect...
Vipi ukiwaonya na ukawapa mifugo yao.
Suala la mipaka ni muhimu wananchi wa pande zote wakashirikiana hii mipaka ilichorowa na wazungu kugawa jamii
Waarabu? Jana? Hii mbona sijaisikia mkuu, nipatie link kama unayo.Kweli hata mimi Nakumbuka sana wale wasomali walikua wakisumbua sana mpaka Mabasi ya abiria wanawaibia ila sijui waliyeyukia wapi baada ya jwtz kutuma vijana wake?
Ni kama kibiti wanavyouwawa mpaka jana waarabu watatu wamekula shaba walikua na mabom na silaha police wamewaulia mbali
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!Mkuu, nakuelewa. Sources ya sheria za Tanzania zimegawanyika katika mafungu kadhaa. Moja ni zile ordinances, yani sheria tulizorithi kutoka kwa Muingereza za kabla ya mwaka 1920. Lakini pia kuna sheria zinaitwa customary laws. Hizi ni sheria zilizojengeka kutokana na mazoea fulani.
Sasa kama kumekuwa na mazoea ya watu wa mipakani kuvuka mipaka bila kufuata taratibu na hakuna mtu ambaye aliwahi kushtakiwa kwa kosa hilo, ina maana customary laws zinaruhusu watu wa mipakani kuvuka mipaka bila kufuata formality.
Muulize huyo 'hakimu wako' kuhusu customary laws naye atakuhadithia maana wanasheria wooote wanafahamu juu ya uwepo wa 'customary laws'...
Mkeo anasifiwa kwa kuwa na kiuno chembamba kama dondola.. Unapoandika upuuzi kama huu sijui na wewe unataka usifiwe kwa kuwa na akili nyembamba kama kiuno cha dondola?Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Kichwa chako kimejaa utoko ndio maana unakuwa mgumu kuelewa.. Sheria zote nimeshazitaja hapo juu kwa lugha ya kiingereza.. Sasa wewe unaulizia sheria gani tena?Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Kabla ya kupayuka payuka uwe kwanza unasoma kilichoandikwa na kukielewa. . Tatizo unawashwa washwa kuchokoza wanaume ili wakujibu upate kiki.. Mimi sijibishani na wendawazimu wasiokuwa na mbele wala nyuma kama wewe.Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
umemaliza namuona kijana anabweka sasa.Wewe ni pumbavu wa wapi ni sheria gani inaruhusu kuchunga kwenye hifadhi ama shamba la mtu hebu ilete hapa! Ama sheria gani insruhusu kuvusha mifugo bila kibali! Ilete hspa!
mna bahati sana kuwa hawa ni wamaasai...ingekuwa wengine kule northern kenya, damu ingemwagika...tena nyingi sana...those people dont care about the law or borders ...they have weapons and they can be very ruthless...ingekuwa ni hawa, mngewapatia ng'ombe wao roho safi na kuwaomba msamaha...
Mkikuyu at his hypocrisy jana mlikuwa mnampigia kelele Wanjigi kuwa na AK47 tano. Leo mnajitamba uwepo wake kwa hata maskini!kukurupuka tu...nimkwambia fanya utafiti...kenya sio nchi ya ujamaaππππ ambapo mmezoea kujikusanya chini ya mti na kuharibu haribu hewa mnapo suluhisha migogoro kwa mazungumzo...huko northern Kenya wanaishi na AK47...mtachinjwa mirija na watakapomaliza wanaacha mto wa damu ukitiririka...π±π±
Why Kenya's cattle raids are getting deadlier