Gamba la Nyoka
Platinum Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
I think we should stay out of Burundi's business, we have got our own mess to deal with. If they don't wanna live in peace then let them destroy each other. We are tired of dealing with their mess.
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake
mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC
Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema

Ukiwa na akili za Lumumba kazi kupangilia uogo tu.
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.Ukiwa na akili za Lumumba kazi kupangilia uogo tu.
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.
Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.
Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake
mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC
Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema
Mambo yote tuyafanyayo yana ukweli na uongo wake ambao hauwezi kubadilishwa kwa wewe kuandika au kutoandika hapa.Kaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake
mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC
Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema
Watanzania tuna matatizo na tusipoangalia matatizo yetu yatazidi kuongezeka kila uchao. Inawezekana waliotuaminisha hizi propaganda ni lile genge ambalo lilikuwa likisimamia wizi wa makontena bandarini ambapo wengine wameshaanza kujitetea kabla hata ya kuhojiwa!Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.
Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.
Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Boresha bandari na miundo mbinu, wala hutakua na haja ya kuhangaika nani rafiki yako wala nini. Jameni Wabongo mtaamka lini na kuelewa biashara haina urafiki wala undugu ila maslahi tu. Sasa badala ya kutia bidii kuboresha miundo mbinu ya kuwafikishia hao Wakongoman mizigo yao kwa wakati, mpo busy kulalamika eti matatizo ya Burundi yapo kwa ajili ya kuwazuia kibiashara.
Muendelee kusubiri hapo mkilia lia wakati sisi tupo mbioni kuikamilisha reli ya kisasa hadi kwa Kagame, na hapo tunaunganisha hadi kwa hao Kongoman
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.
Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.
Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Hako karoute mmekajaribu sana lakini hakana tija yo yote. Bado the best route ni kutoka dar! Waulize hao cow mbwembwe zote zimeishia wapi? Kila aliyealikwa kuingia cow anatoka kimya kimya na akitoka huko anapitia Dar kwa ushauri!
Mkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.
Ni hivi: Mambo yalivyo ndani ya East na central African rafiki wa kweli wa Tanzania ni utawala wa hivi sasa nchini Burundi,waliobaki wanatupiga vita vya kiuchumi na wnatamani sana Taifa letu livurugike kama Burundi na DRC na ushishangae wakijaribu kupenyeza watu kwa lengo la kujaribu ku distabilise Taifa letu,hawaja kata tamaa - kama unakumbuka vizuri mwaka juzi walijaribu sana kuitisha tisha Tanzania kwa kuhunda genge la COW lenye agenda ya siri ya kujaribu kuishinikiza Tanzania kwa kutumia cowboy tactics ili ikubaliane na matakwa yao ambayo hayana maslahi yoyote kwa Taifa letu, Dk.Magufuli hawe makini sana na jamaa hawa ambao karibu wote wako highly
unpredictable hisipokuwa Raila Odinga,sisemi wakija kumtembelea Rais hasiwasikilize - awasikilize tu lakini awe makini nao.
Tanzania iendelee kuwa karibu sana na Nchi za SADC na Burundi,infact tukiwa tunajari usalama wa Taifa letu na maslahi tuna wajibu wa kumsaidia Ndugu Nkurunzinza ili aondokane na mapandikizi yenye nia ya kuvuruga amani Africa Mashariki wakifanikiwa malengo yao huko Burundi who knows kesho watafanya nini - Tanzania kama Nchi tusijisahau na KUBWETEKA,Nkuruzinza niwakusaidiwa kwa hali na mali 4 our own good.
Mambo yote tuyafanyayo yana ukweli na uongo wake ambao hauwezi kubadilishwa kwa wewe kuandika au kutoandika hapa.
Kwa maana hiyo unakubali kuwa anachofanya Nkulunzinza kiendele kwa ajili ya maslahi mapana ya Tanzania huku Warundi wakifa!?
Ni kweli kwa ni kati ya wananchi milioni 10 wa Burundi unadhani ni mwananchi mmoja tu Nkurunzinza anayeweza kutusaidia katika kuinusuru bandari ya Dar es Salaam ambayo wote tumeshuhudia ilivyokuwa imeoza!?
You said it all, una akili sanaKaka kama Mtanzania lazima ujue Geopolitics za East africa, Burundi ndio getway yetu reliable iliyobaki kuingia EAST DRC, watu wa COW wanalazimisha Burundi iwe chini ya raisi mwingine ambaye wanaweza kubully na kuiingiza Burundi ndani ya COW, kama Mtanzania lazimaufatilie kwa makini sana hapa tunazungumzia Bandari yetunya Dar na mustakabarimwa Taifa letu kwa ujumla wake
mgogoro wa Burundi una support kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na DRC kwa mbali, Kenya/Mombasa wanapigania sana kuimonopoly biashara ya Mizigo kupitia route ya Mombasa-Uganda-Rwanda-Burundi-DRC
Soma na fatilia kaka usiwe mtu wa kukubali eti kwa sababu mzungu kasema
Tunataka watu kama nyie -Asante kwa maelezo safiMkuu,jamaa yu sahihi kabisa kama ungekuwa unafatilia masuala ya geopolitic kwa karibu angemuelewa vizuri tu.