haya bwana. Kuna jamaa mmoja anaitwa martin j chegere. Alikuwa kinara primary,sekondary uru seminary div 1.7 mwaka 2004 ,pugu sekondary egm aliongoza tz,div 1.3,chuo kinara ,gpa 4.9,akaunga masters na sasa nazani anachukua phd...muhagachi p chacha,kibaha 2009,kidato cha sita(huyu jembe maaana alikuwa anaishi kisera maisha ya kawaida sana tofauti na wengine,..lakini haya yanakusaidia nini?labda yakupe motisha tu.salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
haya bwana. Kuna jamaa mmoja anaitwa martin j chegere. Alikuwa kinara primary,sekondary uru seminary div 1.7 mwaka 2004 ,pugu sekondary egm aliongoza tz,div 1.3,chuo kinara ,gpa 4.9,akaunga masters na sasa nazani anachukua phd...muhagachi p chacha,kibaha 2009,kidato cha sita(huyu jembe maaana alikuwa anaishi kisera maisha ya kawaida sana tofauti na wengine,..lakini haya yanakusaidia nini?labda yakupe motisha tu.
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
ya kaniambia tangu mwaka 2012 aliianza phd gothernburgmartin chegere ni mwalimu wetu hapa udsm,kwa sasa anafanya phd yake uholanzi..
jaribu kufuatilia vitu ambavyo vitakusaidia katika maisha yako, haya unayoyahoji hapa hayatakusaidia chochote zaidi ya kubishana na wenzako na pia kujaza majina ya watu wasio na maana kwenye kichwa chako
mkuu hiv umeuliza kwanini nataka kujua haya yote? au unaropoka tu?.
au ulitaka niulize habar za diamond na wema.
"WE ALWAYS LEARN FROM WINNERS"
Umenichekesha kweli aiseee! Ahsante
huyo wema na diamond unawajua wewe kwani atamkacho mtu ndicho kilichomjaa, kama kujua jina la winner inasaidia mbona wengi wangekuwa wamefanikiwamkuu hiv umeuliza kwanini nataka kujua haya yote? au unaropoka tu?. au ulitaka niulize habar za diamond na wema. "WE ALWAYS LEARN FROM WINNERS"
kuzungusha kuko kwingi, kama unamaanisha kuzungushia mkanda kiunoni basi hujakosea nishazungusha sana mkanda katika kusoma kwangu sijawahi faulu sana wala kufeli sana, ila kila wanapoenda waliofaulu sana nami niko naokipi kimekuchekesha mkuu? jamaa anaulza itanisaidia nini au hajui hapa ni JF.Kila mtu ana uhuru wa kuuliza,kuchangia chochote hapa jf.au jamaa alizungusha.....
Kuna ilborian MOSES MWIZARUBI T.O 2003 na 2005,sasa ni lecturer pale IAA,jamaa ni LEGENDARY asee.
ya kaniambia tangu mwaka 2012 aliianza phd gothernburg
King Kong III uko wapi? kuna mtu anataka majina ya ma-TO huku!salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
huyo wema na diamond unawajua wewe kwani atamkacho mtu ndicho kilichomjaa, kama kujua jina la winner inasaidia mbona wengi wangekuwa wamefanikiwa