Tanzania olympic team

sut na vitambi kwa kwenda mbele
hivi si wangevaa hata vazi la kimasai
Mbona wenye vitambi ni wengi sana kuliko wanamichezo ais e
 
MWANA WA UFALME ukiangalia team ya kenya au hata somalia taifa lenye vita wanatushinda kwa idadi ya wanamichezo waliopeleka
Sisi ni vitambi na suti ndo wengi badala ya wanamichezo aise
 
Last edited by a moderator:
wenzako hapo ndio wameshamaliza kazi tuliyowatuma (KUSHIRIKI OLIMPIKI). Kilichobaki ni shopping na kuandaa taarifa ya kwanini tumeshindwa. Mjanja mjanja ukimjua hakupi tabu.
 
Kenya wanaoshinda medali wasafiri wiki hii j3 wakati tz wanaokwenda kutalii wamesafiri 2wks ago. Hii ndo tz bwana
 
wenzako hapo ndio wameshamaliza kazi tuliyowatuma (KUSHIRIKI OLIMPIKI). Kilichobaki ni shopping na kuandaa taarifa ya kwanini tumeshindwa. Mjanja mjanja ukimjua hakupi tabu.

Hahaaa, kwahiyo ni swala tu la uwakilishi hapa
 
Kenya wanaoshinda medali wasafiri wiki hii j3 wakati tz wanaokwenda kutalii wamesafiri 2wks ago. Hii ndo tz bwana

Well, muda wa kuondoka sio tatizo kubwa, but we just wish them all the best
 
ule muda waliopoteza kwa vazi la taifa uko wapi? hapa ndio ilikuwa mahali pake kwa vazi ka taifa kuoneshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…