Tanzania Oil and Gas Corporation PLC, wapewe vitalu vya Tanzanite Mererani na kwingineko

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,934
3,228
Tanzania tuepuke rasilimali kufaidisha mataifa ya nje, tuwekeze wenyewe. TUNAWEZA.

Kwanini Botswana waweze halafu Tanzania tushindwe.

Tanzania Oil and Gas Corporation PLC itafaidisha kila mtanzania, kila Mtanzania atakuwa na HISA na ajira za watanzania.

Pia hii kampuni itanunua bidhaa za Tanzania.

Hata Mods wa JF wataweza kununua hisa, hata mimi nitanunua hisa na wengine watanunua hisa.

Wachimbaji wakubwa Mererani ni Tanzanite One (RICHLAND RESOURCES) ambao wana ubia na baadhi ya Vigogo/matajiri wachache.
 
Unajua kwa nini Wakubwa wa nchi hii wanakataa rasimu ya Katiba ya Tume ya warioba?
Suala la miiko ya uongozi na kutenganisha uongozi na biashara ni gumu sana .Hili ni janga kubwa kwa rasilimali za taifa hili.
Wanashindana kwenda ulaya kutafuta wawekezaji ili nao watupie visenti vyao huko kama 10%.
 
CCM hawakatao rasimu bali hawataki serikali tatu
 
Ndugu Awo na RealMan, acheni uwoga!

NICOL na Tanzania Oil and Gasi Corporation ni Vitu 2 tofauti kabisa.

Management itakuwa tofauti na board of Directors itakuwa ya wenye HISA.

Kuogopa ndo kuwaachia mafisadi waendelee kufaidi matunda ya Rasilimali za Tanzania. Mfano, angalia, waliopewa HISA za Tanzanite One ni Vigogo wachache, wakiwepo Wabunge. HISA za Tanzanite One hazikuuzwa kwa uwazi.

Watanzania tusiwe waoga (Spirit of Entrepreneurship) ni kujaribu na kuogopa ni kukumbatia umaskini.

Yes, we can.

Tusitoe comment za kukatisha wengine tamaa kwa mifano isiyo na Uhalisia.
 
Mlioolewa na mengi mna shida. Kazi kutumiwa kama kondom. Muulize bosi wako zile Dar3 amezifanyia nini hadi sasa.
 
Tanzania tuepuke rasilimali kufaidisha mataifa ya nje, tuwekeze wenyewe. TUNAWEZA.

Kwanini Botswana waweze halafu Tanzania tushindwe.

Tanzania Oil and Gas Corporation PLC itafaidisha kila mtanzania, kila Mtanzania atakuwa na HISA na ajira za watanzania.

Pia hii kampuni itanunua bidhaa za Tanzania.

Hata Mods wa JF wataweza kununua hisa, hata mimi nitanunua hisa na wengine watanunua hisa.

Wachimbaji wakubwa Mererani ni Tanzanite One (RICHLAND RESOURCES) ambao wana ubia na baadhi ya Vigogo/matajiri wachache.

Mkuu Reginakd Mengi @co walituingiza mkenge NICOL,sasa kaja na hili tena!TAHADHARI KWA WATANZANIA usikubali kutapeliwa
 
Ndugu Awo na RealMan, acheni uwoga!

NICOL na Tanzania Oil and Gasi Corporation ni Vitu 2 tofauti kabisa.

Management itakuwa tofauti na board of Directors itakuwa ya wenye HISA.

Kuogopa ndo kuwaachia mafisadi waendelee kufaidi matunda ya Rasilimali za Tanzania. Mfano, angalia, waliopewa HISA za Tanzanite One ni Vigogo wachache, wakiwepo Wabunge. HISA za Tanzanite One hazikuuzwa kwa uwazi.

Watanzania tusiwe waoga (Spirit of Entrepreneurship) ni kujaribu na kuogopa ni kukumbatia umaskini.

Yes, we can.

Tusitoe comment za kukatisha wengine tamaa kwa mifano isiyo na Uhalisia.

Mahali penye Mengi Idd Simba Felix Mosha usikanyage mguu utalizwa tuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ushauri wangu naomba wadau wa Tanzania Oil and Gas Plc,andaeni makongamano mtueleze TOG PLC,ni kitu gani,muundo mzima wa uongozi ukoje,taratibu za kijiunga,security ya hiss zenu sisi walala hoi,yaani vitu kama hivyo watu waelewe pasipo kuwa na hofu yeyote,maana watu tuna hofu isije ikawa kama NICOL,vinginevyo ni kitu kizuri sana kama management itakuwa na watu waadilifu
 
Tutanunua achana na vitisho vya muhongo eti mtaji hatuwezi. Gas sio for equity but resources alitupa mungu.
 
Kuna Watanzania kibao wenye machimbo ya Tanzanite sasa kwanini ufuate mikumbo ya kampuni za kitapeli. Kama tunataka Tanzania kufanikiwa tunatakiwa kutafuta namna ya mikopo ya bank kupungua na hili ndilo Tatizo sio hisa za kijinga kampuni zinaendeshwa na banking system.
 
Jamani uwekezaji kwenye Oil and gas ni mkubwa mno hasa vitalu vya Baharini. Are we willing to pay US$1.4mil. per day for at least a year??? Mark my words hiyo kazi yataka mtaji mkubwa ndugu zangu acheni siasa
 
Sijapita huku siku nyingi lakini pia mimi nilishtuka kidogo nilivyoona tangazo jana kwenye gazeti kuhusu hiyo kampuni na limesainiwa na mengi. Pamoja na kwamba naikumbuka nicol na naogopa kidogo lakini kama capital markets walikataaga hii kitu ya kukusanya mtaji?(I stand to be corrected though)I
la abda kina Mengi waje na details zaidi za namna kampuni itakavyoendeshwa. Maana kama itakua yale ya nicol then ni tatizo.
 
Kwenye hii kitu na nyingine za namna hii kwa udhaifu wa regulatory authorities tulionao Mimi nitabakia kuwa LAGGARD
 
Hawa watu hujifanya kutetea wazawa kumbe ni kutumia tuu migongo yetu kujinufaisha.Idd Simba kajimilikisha PRIDE kinyemela,kauza UDA pesa kaweka mfukoni.Mengi kachukua pesa za NICOL kajiuzia Kiwanda cha Madawa moshi huku akijua kinadaiwa na Barclays
 
Mlioolewa na mengi mna shida. Kazi kutumiwa kama kondom. Muulize bosi wako zile Dar3 amezifanyia nini hadi sasa.

Matunyegule, OK. Kama wewe ni Great Thinker,usiishie kukejeli na kutukana tu. Sema sasa, ToaHoja Watanzania wafanyeje ili washirikishwe katika kumiliki na kufaidi Rasilimali za Taifa.

Au ungependa na Mimi Niseme kuwa Na wewe UMeolewa na Waziri Muhongo aliyetukana WaTanzania?
 
Ushauri wangu naomba wadau wa Tanzania Oil and Gas Plc,andaeni makongamano mtueleze TOG PLC,ni kitu gani,muundo mzima wa uongozi ukoje,taratibu za kijiunga,security ya hiss zenu sisi walala hoi,yaani vitu kama hivyo watu waelewe pasipo kuwa na hofu yeyote,maana watu tuna hofu isije ikawa kama NICOL,vinginevyo ni kitu kizuri sana kama management itakuwa na watu waadilifu

Kocha Hongera kwa kutoa mchango/comment ambayo ni constructive. Hii ndio mawazo mazuri.

Kama baadhi ya watu wana mashaka na Hii kampuni ya Tanzania Oil ,basi Kongamano liandaliwe.

Sasa wasomi wa Tanzania wanakaa kimya, halafu mtu kamaMengi anakuja na wazo,wanakuja hapa kumponda naKashfa. Sasa Sisi Watanzania,tutoe mawazo mbadala au way forward ya Kuanzisha kampuni kama hiyo.

Milango iko wazi,Watanzania wanaweza kuanzisha kampuni kamahizo na kuuza hisa,sio lazimahiyo ya Tanzania Private Sector Foundation.

Kama baadhi Mna Mashaka na Mengi,Kwanini sasa alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Wa TPSF?
 
Back
Top Bottom