Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

Hpa kz ipo
Kubwa.....nadhani mkuu alitishika kwa kuwa gazeti limeandikwa kiingereza,na jamaa wa benki ya dunia wana tabia ya kuyanunua haya ya kiingereza katika ofisi zao za Dar,moja kwa moja akajua kalala na fegi kachoma kibanda
 
Sasa nadhani mafahari wawili wamekutana uso kwa uso.

Gazeti la The Citizen limebainisha kwamba mgodi wa madini ya nickeli uliofutiwa leseni unamilikiwa na benki ya dunia kupitia kampuni yake tanzu iitwayo International Finance Corporation.

Kupitia kampuni hiyo,benki ya dunia imeshawekeza shilingi zaidi ya bilioni kumi,hivyo benki ya dunia kuwa na hisa asilimia kumi.

Kimsingi,mgodi huo unamilikiwa kwa pamoja na benki ya dunia na kampuni ya Uingereza iitwayo African Eagle Resources ambayo imesajiliwa katika masoko ya hisa ya London Uingereza na Johannesburg Afrika ya kusini. Kampuni hii tayari imeshatumia dola milioni 26 katika utafiti.

Gazeti hilo limeandika kwamba kampuni hiyo imeshafanya utafiti kwa zaidi ya miaka kumi na imegundua tani 110 milioni za madini ya nickel

MASWALI YA KUJIULIZA.

Moja: mikopo ya benki ya dunia huambatana na masharti ya kuheshimu utawala wa sheria na mikataba ya wawekezaji,je kwa kuwa sasa tumewagusa wenyewe,tutapata mkopo wa benki ya dunia kweli? Au ndio tunaambiwa serikali "imekwama" kupata mikopo kwa mambo kama haya?

Mbili: je benki ya dunia na mashirika wake katika mgodi wa dutwa,watakubali kupoteza karibu bilioni sabini walizoziwekeza kwa kipindi cha miaka kumi.

Tatu: wakitaka wafidiwe,nani atawafidia na hela itatoka wapi?

Nne: je maeneo hayo kuna mlima mmoja tu wa kuweka tenki la maji? Je teknolojia ya sasa inahitaji milima pekee kuweka tenki la maji?

Tano: nchi ikishtakiwa katika mahakama za kimataifa,nani atawajibika kulipa fidia kubwa na riba? Kwa mapato yapi?

Sita: dunia ya wawekezaji inaiona Tanzania sehemu salama ya kuwekeza kama mtu kufanya utafiti kwa miaka kumi,kapewa leseni zote,hatua ya kuchimba ndipo anafukuzwa

Saba: mwanasheria mkuu wa serikali alimpa mkuu muongozo UPI wa kisheria kabla mkuu hajaifuta leseni hiyo?

Nane: je kweli tenki la maji lina justification ya kuuondoa mgodi

Tisa: kama kampuni imetumia bilioni sabini kutafiti madini,je hilo tenki la maji litajengwa kwa Tsh ngapi? Je gharama ya kumfidia muwekezaji mamia kama si maelfu ya mabilioni na gharama za kutafuta sehemu nyingine ya kujenga tenki la maji kipi rahisi?

Unaweza kujikuta unafidia trilioni kumi ili tu upate mlima wa kujenga tenki la maji lenye thamani ya bilioni 20

Kumi:wataalam qa maji akili na utaalamu wao umeishia kuamini tenki la maji lazima likae mlimani?nchi zenye tambarare zinafanyaje.

Kumi na moja:hii hali UA kuwavuruga wawekezaji,itaifikisha nchi wapi?

========

The World Bank is a shareholder in the company whose licence to mine Nickel in Tanzania was ordered cancelled by President John Magufuli on Wednesday.

The International Finance Corporation –the World Bank’s Private investment arm, holds a 10 per cent equity stake in African Eagle Resources’ Dutwa Nickel fields in Busega and Bariadi districts in Simiyu region.

African Eagle Resources is a UK-incorporated company traded on London AIM and Johannesburg AltX. AIM and AltX are stock markets for small companies that seek to raise capital.

The company has been prospecting for Nickel for nearly a decade on Ngasamo Hill and was now in the process to establish an open pit mine to extract the discovered mineral, estimated to be 110 million tonnes.

President Magufuli, however, directed the minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo to withdraw the Dutwa mining licence in favour of a water supply infrastructure in the area.

He issued the order while addressing a public rally at Somanda Secondary School shortly after inaugurating the 70km Bariadi-Lamadi tarmac road. “There is no way over one million people should be suffering just because one investor is extracting minerals…..that does not make sense,” said the President, arousing cheers from the rally. Dr Magufuli was told that water problems in the area could be easily solved if a tank was built atop the hill but for the fear of interfering with the mining area.

Yesterday, it emerged that the company in question has been worked in the area since 2008 as prospectors. Plans to construct the mine started in 2004 and had been expected to start last year. It was not immediately clear if the final green light for mining had been issued.

The Dutwa project was one of the three main Nikel mining prospects for Tanzania, with a production capacity of 27,000 tonnes of Nickel every year. The mine, according to the firms’ website would have a 20 year lifespan and some 1 million tonnes of the precious mineral used widely for various industrial purposes.

Reports show that IFC advanced the company $5 million (Sh10.5 billion) for a feasibility study on the establishment of the mine in exchange of the equity at more than 45 million ordinary shares in the company.

Information on its website indicate the firm has sunk more than $26 million in the exploratory stages, with the company’s project director, Mr Aidan Schoonbee, then quoted as saying they had been expected to acquire the mining licence by 2014.

Tom Butler, the IFC head of mining during the deal, aid the Dutwa project would put Tanzania in the league of major African nickel producers.

Tanzania Commissioner for Minerals Ali Samaje during a conference in Arusha noted that the Dutwa Nickel Project and Ntaka Hill project in Nachingwea District and Kabanga project in the Kagera Region would pioneer the mining in the country. Dutwa deposits are classified as the sixth largest in Africa.

As a mineral development firm that performed the geology services and mine planning assessments, African Eagle Resources has since 2013 sold controlling interest in the project to Blackdown Resources, also a UK registered private company.

President Magufuli’s order is similar to an earlier one he issued for the revocation of a mining licence in Shinyanga to pave the way for small scale miners. The Head of State repeated the message yesterday during his public rally in Shinyanga town, adding that the mining licence earlier issued to a private company should be cancelled altogether.

“It is not possible that 15,000 people are issued a notice to vacate the site in 10 days yet they found the minerals. That is why I ordered them to stay put and today I am directing that the said licence be cancelled for good,” said the President.

The Citizen has gathered from impeccable sources that the Shinyanga licence is operated by Acacia Mining, formerly Africa Barrick Gold (ABG).

Yesterday, commentators were quick to raise the alarm over the developments, cautioning that the long-term effect on the economy could be dire.

“It was shocking to hear that the President ordered a cancellation of the mineral licence in Dutwa area Bariadi to pave the way for a water tank,” said Mr Zitto Kabwe, the Kigoma Urban MP and ACT-Wazalendo Party Leader.

He told The Citizen in an interview that the Dutwa mine was capable of earning money to fund the water project and earn the government billions in royalty alone. Mr Kabwe said nikel currently fetched $10,440 a tonne, meaning a yearly income would be $282m.

“The government is sending all negative messages to investors. These statements will cost the nation dearly in future,” said Mr Kabwe.

The Tanzania Chamber of Minerals and Energy executive secretary, Mr George Mturi, said while the decrees being issued by the President targeting their members were alarming, the agency believed in the rule of law.

“What I know is that this is the second decree the President was making against mining investors. What I know is that the first decree did not lead to cancellation of the mining licence. It is likely that some of these orders are political but let us wait and see what happens,” he said.

According to him, the Tanzania Chamber of Minerals and Energy has been advising mining investors not to be alarmed. “In case they are denied their rights we will assist them to get legal redress,” he said.

A High Court advocate specialising in handling business and investment disputes, Dr Eve-Hawa Sinare said that to avert unnecessary investment disputes, there is a great need to initiate consultative dialogue with investors.

“I remember Former President Benjamin Mkapa did that and the result was positive economic growth rate. It can be done in this regime to attain higher economic growth,” Dr Sinare said.

The Vice Chairman of Policy Forum Mr Hebron Mwakagenda said the Presidential decrees against investors would be seen as an extension of violation of the law.

Efforts to get the leaders from responsible ministry for clarification on the issue were futile yesterday.


Source: The Citizen
Hawa wawekezaji hawana la maana. Bulyankulu walipewa kimagumashi na watu wanadaiwa kuuawa. Mimi naona Rais anafanya poa tu. Benki ya dunia nao walishatulostisha sana. Mbona huo uchambuzi hauonyeshi nchi inafaidikaje. Kama ni cost benefit analysis mbona iko bias inalalia zaidi kwa wawekezaji. Ningeona la maana kama wangeelezea nchi itakosa kiasi cha bilioni au elfu kazaa ambazo zingelipwa kwa serikali kama kodi mrabaha au ajira.Mimi naona maluelue tu.
 
Lakini JPM hajaifutia leseni umemnukuu vibaya. Alichosema kama kampuni hiyo itakataa Tanki la maji lisijengwe kwenye kilima hicho basi ifutiwe leseni. Hatujasikia tamko la kampuni hiyo ya madini kwamba imekataa kushirikiana na serikali katika ujenzi wa tanki hilo.
Mkuu usipoteze muda wako kuwajibu hawa waache waandike...
 
Ndio kazi ya chadema siku hizi kutetea kila aina ya maovu nchini.

Kwa jicho la chadema benki ya dunia ni ya maana sana kuliko wananchi wa Mkoa wa Simiyu.
Wewe kupitia serikali yako ni mwanachama kwa hiyo mwanahisa wa benki ya dunia.

Ukiwa kichwa cha panzi hata uwezo wa kijifikiria ni uchwara.

Mshaurini mtu wenu sifa za kwenye vyombo vya habari zitamgharimu.
 
Mkuu usipoteze muda wako kuwajibu hawa waache waandike...
Hii inaitwa mbuzi(tanzania)kafia kwa muuza supu(benki ya dunia wanaotukopesha kila Leo)

Sasa hata ukawa ajenda yao ya kufutiwa mikutano ya kisiasa itapata mashiko.
 
Citizen awajaacha ata nukta nmependa... Mwenye kuelewa na aelewe!
Kwa watawala sio ishu watakimbilia China..... I just blame Chinese wazungu walkua wanatunyoosha na tungenyooka

Sioni mwisho mzur wa hii serkal ya ccm
 
jaman muda mwingine tuache ukosoaji usio na Tija kwa serikali maana mimi natoka Bariadi sasa unaposema mwekezaj aje achukue madini then tukae bila maji it does not make sense wao wakae washaukiane maana nincho amini kuwa wananujuzi wa kutosha kuweza kujua tenki linakaa wapi halafu unaambiwa wao wame design wakaona hyo ndo sehemu pekee ya kuweka tenki hvyo vitu vingine sio vya kukosoa .INA maaana tukae bila maji kiss mwekezaji hyo hats mimi sikubali
 
Mimi hapo point moja ndio imenivutia, "Je tanki lazima lijengwe mlimani, kwani nchi za tambarare wanafanyaje"

Wakijibu hili tena kisayansi sio bla bla, watakuwa wamekata mengine kwa kiasi fulani


Ni ajabu unataja neno Sayansi lkn unashindwa Sayansi ndogo ya hata mtoto wa cheke chea anaweza kujibu, Tanki ni lazima lijengwe Mlimani ili Maji yaweze kushuka kwa urahisi chini, waliokuwa na tambarare wanatumia nishati nyingi zaidi kusukuma maji na hivyo kuongeza gharama ambayo ni lazima ilipwe na mtumiaji ambaye hana kipato chochote kile, sasa kama tuna Mlima ni kwa nini tuingia gharama za ziada kusukuma Maji?
 
Kauli za Trump zilianza kubadilika tangu alipotangazwa kuwa mshindi, mfuatilie utaona tafauti ya kauli zake wakati wa kampeni na sasa
Wewe naona ndio haufatilii kabisa siasa za marekani, alichokiongea ndicho anachokitenda, ukuta unajengwa mexico na marekani, taratibu za kuiondoa obama care zimeanza, bado kupigwa marufuku waislamu kuingia marekani n.k n.k
 
Lakini JPM hajaifutia leseni umemnukuu vibaya. Alichosema kama kampuni hiyo itakataa Tanki la maji lisijengwe kwenye kilima hicho basi ifutiwe leseni. Hatujasikia tamko la kampuni hiyo ya madini kwamba imekataa kushirikiana na serikali katika ujenzi wa tanki hilo.
Ukipewa liseni au hati miliki ya kipande cha ardhi unatakiwa ushirikishwe hata ulipwe kwa makubaliano ya kutumiwa eneo lako hadi hapo liseni au milki yako itakapofutwa kisheria. Tumempa madaraka ambaye hajawahi heshimu sheria na mahakama (rejea kesi ya Igunga) tunalo
 
Mimi hapo point moja ndio imenivutia, "Je tanki lazima lijengwe mlimani, kwani nchi za tambarare wanafanyaje"

Wakijibu hili tena kisayansi sio bla bla, watakuwa wamekata mengine kwa kiasi fulani
Kwanza je ni nchi gani ya tambarare iliyojenga tenki unayoijua, kabla hujajibiwa swali lako?
 
Mimi nashangaa kitu kimoja tu
Magufuli anao watu wa kutosha wa kumuelesha kuhusu mikataba hasa ya madini
why anafanya hizi mistakes....

Kwasababu

1. Yeye anajuwa mambo yote wala hakuna mjuzi zaidi yake.

2. Anafahamu urais ndio kila kitu wala kwake hakuna
-kujifunza
-kushauriwa
-kudanganya/kudanganywa

3. Nayeye ndiye mwanzo na mwisho

Mtamwambia nini.........
 
Ndo maana nchi haziendelei maana bank ya dunia ni yao, wawekezaji ni wao, watunga sheria ni wao.....afu mtu anasema tupigane kupandisha mrahaba...thubutu!
 
I actually agree na Magufuli on this.

Next time uongozi wa wilaya mkoa TIC wizara husika watu wa mazingira etc watafanya public consultation na wananchi kabla hawa investors hawajapewa hayo maneo na haya mambo yaweekwe open
 
Back
Top Bottom