njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
najiungaje huko?mkuu ukijiunga na LB7 utakua unapokea elfu saba kila wiki hautakuja hapa kulialia kuhusu vocha.
2B1ask1-for more info see Magonjwa Mtambukanajiungaje huko?
2B1ask1-for more info see Magonjwa Mtambuka
Upo Chattle?Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Upo Chattle?
Asilimia azipimwi vijijini zina pimwa mijini kwenye watu wengiMbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Asilimia azipimwi vijijini zina pimwa mijini kwenye watu wengi
Chakula hicho ni chakula bora au bora chakula? Umejaza magunia ya mahindi na mtama unajigamba unachakula? Mtoto ale mihogo kisha atembee 5 km kwenda shule unajisifu unafuraha?. Maji ya foreni na yenye kwenye vidimbwi ndio yanayokupa hicho kibri?. You can't be serious Mr, tofautisha kuishi na kuhangaikia tumbo( to live and survive).Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Pole, usihamaki sana, kuishi kijijini haimaanishi kuwa na nyumba ya hovyo hovyo wala kutokula a well balance diet, na haimaanishi kutokuwa na furahaChakula hicho ni chakula bora au bora chakula? Umejaza magunia ya mahindi na mtama unajigamba unachakula? Mtoto ale mihogo kisha atembee 5 km kwenda shule unajisifu unafuraha?. Maji ya foreni na yenye kwenye vidimbwi ndio yanayokupa hicho kibri?. You can't be serious Mr, tofautisha kuishi na kuhangaikia tumbo( to live and survive).
Mahitaji ya binadamu ya muhimu ni matano (chakula, makazi, mavazi)wewe unalo moja ambalo nalo halijajitoshereza.
Mbona sisi tupo huku kijijini na tunafuraha tuu, maghala yanachakula mpaka vinaharibika, ngo'mbe wanatoa maziwa mpaka yanakosa mnywaji, matunda yamejaa mtini mpaka yanaoza,, daah tutake nini tena jamani,
Pole, usihamaki sana, kuishi kijijini haimaanishi kuwa na nyumba ya hovyo hovyo wala kutokula a well balance diet, na haimaanishi kutokuwa na furaha