BULLDOZZER
Senior Member
- Jan 18, 2011
- 103
- 0
ziromi najua..nikitoka ofisini naelekea nyumbani ambapo ctapotea sababu njia nazijua...wewe je??hoja yako haina mashiko jaribu kuumiza kichwa na uandike kitu convincing
Wengi hatujui tunakokwenda kwa sababu tunapelekwa! Wengi zaidi hatuhitaji kujua tunakwenda wapi kwa sababu tunaamini kwamba wapo wanaojua tunahitaji kwenda wapi badala yetu!!! Wengine hatutafuti sababu kwanini tuko hapa na tumekwama pale kwa sababu tunaamini wapo walio na majibu katika hilo!!! Tena tunakwenda mbali zaidi ya hapo, tunahitaji tufanyiwe kila kitu bila ya sisi wenyewe kuhangaika wala kujishughulisha na matatizo yanayotukabili!!! Wala hakuna hata mmoja anaeona matatizo akatafuta namna ya kuyatatua bado tunasubiri waje kututatulia wale wanaojua matatizo yetu!!!Ndugu zangu habari zenu.
Naomba kuwauliza wana JF; Hivi watanzania tunajua tuendako? Au kunahitajika mjadala wa kitaifa kujadili Mustakabali wa nchi yetu?
Nina majian ya wala rushwa nawapa muda wajirekebishe
Nimekasirishwa sana na wizi wa EPA namfukuza gavana mara moja
Nina majina ya wauza unga watanikoma
Hivi karibuni tutapeleka kesi kubwa za wizi mahakani
tumewashtaki hadi mawaziri.....kma Mramba
Mchagueni mramba ni panga kongwe lenye makali
Uchumi wetu unapaa
KUJIUZULU kwa Lowasa ilikuwa ni ajali tu ya kisiasa.
Hata mimi sijui kwa nn tanzania ni maskini!.....
Kama unamjua aliyesema maneno haya na yupo wapi baada ya hapo ...utajua jibu la swali lako (KWA KUTAFAKARI KIDOGO TU}
mi najua..nikitoka ofisini naelekea nyumbani ambapo ctapotea sababu njia nazijua...wewe je??hoja yako haina mashiko jaribu kuumiza kichwa na uandike kitu convincing
Wapo wanaojua na wapo wasiojua mustakabali wa nchi yao.
Mjadala wa kitaifa ni muhimu,wanaojua waweke wasiojua sawa,na wasiojua waonyeshe kutokujua kwao😛lane:
Wengi hatujui tunakokwenda kwa sababu tunapelekwa! Wengi zaidi hatuhitaji kujua tunakwenda wapi kwa sababu tunaamini kwamba wapo wanaojua tunahitaji kwenda wapi badala yetu!!! Wengine hatutafuti sababu kwanini tuko hapa na tumekwama pale kwa sababu tunaamini wapo walio na majibu katika hilo!!! Tena tunakwenda mbali zaidi ya hapo, tunahitaji tufanyiwe kila kitu bila ya sisi wenyewe kuhangaika wala kujishughulisha na matatizo yanayotukabili!!! Wala hakuna hata mmoja anaeona matatizo akatafuta namna ya kuyatatua bado tunasubiri waje kututatulia wale wanaojua matatizo yetu!!!
Haitoshi!
Hii ndio Tanzania... Nchi yetu wala si ya mwingine... lakini tunakimbia wajibu na majukumu yetu. Tunawaachia wengine watuhangaikie... wala hatujishughulishi kujua ni MBWA MWITU KWENYE NGOZI YA KONDOO au ni KOBOKO kwenye tenga la KAMBALE!! Ila ndio Tanzania yetu tutaenda wapi?! Maana mfanyakazi anaesifiwa ni yule mwenye kutajirika muda mfupi baada ya ajira - ANA AKILI SANA. Na anaesifiwa ujinga ni yule anaetegemea mshahara wake wa mwezi - ANA NINI MJINGA YULE HAMMUONI KILA SIKU YUKO VILEVILE!!! hiyo ndio Tanzania.....
- Wapo wanaofanya bidii kutoboa jahazi na hali tumo ndani na kimya tumekaa!!
- Wapo wanaojitahidi kusema jahazi linatobolewa lakini hakuna hata mmoja anaewasikiliza!!
- Wapo wanaofurahia kila jambo bila kujali ni jema ama ovu!!!
- Wapo wasiojua wala hawahitaji kujua chochote zaidi ya mkate wao wa kila siku wanaousumbukia!!
Ipo siku yale ya Malkia wa Ufaransa yatabisha hodi nchi hii... kwa maana wapo waliojisahaulisha taabu na mashaka ya wananchi wao... ndio maana sasa wapo baadhi wanatumika bila kujua kwamba wanatumika visivyo!