Tanzania ni shamba la bibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni shamba la bibi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELNIN0, Dec 2, 2009.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Imefikia hatua Tanzania yetu nchi yenye mali nyingi na vivutio vya kitalii inaitwa shamba la bibi, cha kujiuliza kweli tumeamua kuiita hivyo? je unavyoimba wimbo wetu wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wotee ni unafiki tu? mimi binafsi naumia sana nikisikia kauli hii ila huwa sina pa kwenda kushitaki.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  sikubaliani na wewe kwamba tz ni shamba la bibi..........thibitisha umepata wapi na nani kasema habari hizi...............
   
 3. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  1. Shirika la Ndege wamelivuna bila aibu
  2. Shirika la Reli wamelivuna
  3. Shirika la posta na Simu walilivuna bila huruma
  4. Tanesco wameivuna ( Enzi ya Tetgroup solutions)
  5. Maji Dar es salaam wamevuna - City water wakala pia
  6. Nassako - Wakavuna
  7. Sekta ya madili - wamevuna
  8. Umeme wa Dharula - Wamevuna
  9. TTCL - kuingiza Simu Net - Wakavuna kwa ujasiri mkubwa
  10.TPDC - wakaivuna bila huruma
  11.Mbuga za wanyama - Kule wanavuna ki usani hadi sasa
  12.Ndege ya Mnene - wakashiba
  13.Rada ya Taifa - wakapata dalali awasaidie kununua - wakalamba vizuri
  14. Vihela vilivyokuwa benki kuu ya madeni ya nje wakavigundua -
  Wakaamua kuvigawana
  15. Reaserch centers za kilimo, ufugaji ya umwagiliaji zilizokuwa zimeanzishwa na mwasisi wetu - wamezigawana / kuzivuna bila aibu  Sasa baadhi ya mifano tu je huwezi kukubaliana na mimi kwamba nchi yetu ni shamba la bibi - Yaani halina Mlinzi? haisaidii kujua nani kasema wewe ndo utoe hoja why LISIITWE SHAMBA LA BIBI KIZEE LENYE KILA KITU ILA HALINA MLINZI?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Uwanja wa KIA wamevuna
  RTC(s) wamevuna
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Textile industries wamevuna
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Minara pacha pale kwenye kihenge kikubwa mjini kati wamejihudumia, Kuna habari mpaka kale kaofisi kadogo ka bunge watu wamejivunia kiulaini, stika za zima moto wanajivunia, Speed governor, wanasubiri kale kamradi ka mabasi jijini wajivunie tena.........
   
Loading...