Tanzania ni nchi ya ajabu sana!!! Dah

Tanzania ni nchi ya ajabu sana!!! Dah

Ni kweli kabisa usemayo...

Na kuna zile tabia askari anaweza kukusimamisha vizuri, alafu huyo akaondoka zake kwenda kuongoza magari au kuendelea na shughuli zingine, wewe akakuweka hapo sijui mpaka umfuate muanze kubembelezana...


Cc: mahondaw
ni upuuzi sana, hiyo tabia inakera kwakweli, huwa hawataki kuelewa kwamba na wewe unatakiwa uwe kazini.
 
Mama yangu Sijajua lile jeshi la usafi itakuwaje !?
 
Traffic wanaboa sana
Hawa dawa yao ni kuvunja tu miguu msieew
 
Ni kweli kabisa usemayo...

Na kuna zile tabia askari anaweza kukusimamisha vizuri, alafu huyo akaondoka zake kwenda kuongoza magari au kuendelea na shughuli zingine, wewe akakuweka hapo sijui mpaka umfuate muanze kubembelezana...


Cc: mahondaw
Mimi huwa sibaki mzee,as long as leseni yangu ninayo
 
Ni kweli kabisa usemayo...

Na kuna zile tabia askari anaweza kukusimamisha vizuri, alafu huyo akaondoka zake kwenda kuongoza magari au kuendelea na shughuli zingine, wewe akakuweka hapo sijui mpaka umfuate muanze kubembelezana...


Cc: mahondaw
Duh!
 
Kama Ni Nchi Ya Ajabu Hamia Nyingine Toka Kwenye Nchi Yetu Ya Wazalendo Wa Kweli Tuijenge
 
Pole sana mkuu,umeongea ukweli mtupu na hizo barabara tunazojisifia hazina hata ubora tunaoambiwa na hawa wanasiasa uchwara,ajali nyingi zinatokea nchini mwetu sababu kubwa hizi barabara ni mbovu na nyingi zimejengwa chini ya viwango na sio madereva;huwezi kuweka tuta kwenye freeways (jenga speed cameras),Botswana ni nchi bora ndani ya SADC kwa kuendesha,barabara zao ni bora,alama za barabarani zinaonekana kirahisi,fuata sharia zao hasa unapoendesha usiku maana wanyama ni wengi mno,huombwi rushwa hata cent moja (but make sure papers zako na gari zipo sahihi).
 
Halafu kuna mapimbi wachache wanawatetea hawa Trafiki kwa huu udhalimu wanaotufanyia barabarani, wanakera sana kwakweli
 
Hebu shirikisha kaubongo kdg kufikiri! Gari ni facility au kitendea kazi sio starehe! Unaweza kutoka mbeya hadi dar kwa mguu zama hizi?
Anataka upande farasi au punda
 
Hela ya ku brush viatu hiyo uliombwa ,inatambulika rasmi kabisa hata na mkuru .Bongo Bahati Mbaya.
 
Hawa Jamaa hizo jezi nyeupe wanazidhalilisha sana!!! Juzi Kati hapo iramba wamesababisha ajali kutokana na tamaa zao za kuchukua mlungula!!!! Niseme tu kuwa kama hawa trafik hawatobadilika kimtazamo ajali kuisha au kupungua Nchi hii itakuwa ndoto!!!
 
Habari wandugu!
Mwezi uliopita nilikuwa na safari yangu kutoka Johannesburg hadi Nairobi kwa gari kibiashara zaidi! Kutoka South,Botswana,hadi Zambia kila traffic alienisimamisha alipojua ninaenda wapi hakuruhusu nichelewe hata dk moja karibu wote walinitakia sfr njema na kunikumbusha kuzingatia usalama wangu na wa wengine barabarani! Wengine walidiriki hata kuegesha malori yanayokaguliwa pembeni ili tunaoenda mbali tupewe kipaombele!

KITUKO SASA
Sijui ilikuwa bahati nasibu kupita mbeya usiku? Nilipoingia tu Tanzania nchi yangu ya amani nikiwa mafinga asbh sehemu inaitwa kinyanambo nilibambikiziwa kosa eti nimeover speed wakati namonitor speed yangu ni 40 mahali palipotaka 50 kijana huyu askari anatoka povu kutaka hela kwanguvu kwa kosa lisilolangu huku wengine wakinishambulia balaa kama mwizi! Mbaya zaidi walipojua natoka safari ndio usiombee! Nilipoteza saa zima hapo kwa ajenda ya kishetani sana! Mwisho nikalipa faini nikaondoka!
Friends! Kutoka mafinga hadi Dodoma nilisimamishwa njiani Mara 12 kila anaesimamisha anataka hela na anatafuta kosa kama mungu vile!

Nimejiuliza maswali mengi sana kwenye Taifa kama hili! Tabu niliyoipata baada ya kuingia nchini kwangu huwezi amini!

MY TAKE
Kuna tafsiri nyingi sn za amani but ukipewa mamlaka kubwa kama wewe si mwadilifu kama walivyo hawa ndg zetu wengi ni afadhali ukutane na shetani! Nashindwa kuelewa kama traffic mbinguni wapo nitamuuliza Mungu maswali mengi sana! Barabara za kwetu na tunazilipia kodi but tunaendesha magari kama wageni au ndege tunaowindwa what is thissssss!! Nchi hii inatamkiwa laana nyingi sana na watu wake ambazo ni halal ni ngumu sana kufurahia maisha bongo labda uwe askari, mchawi na mtu mwenye roho mbaya sana

Mwisho! Kwakuwa najua serikali haiwezi fanya mabadiliko yoyote ktk hili nimeamua tu kuliweka hili kundi la hawa watesaji kama kundi duni saana na la mwisho kwa umuhimu in my list of group of people in the society.Hii ni kwasababu nimejihakikishia kuwa dhamiri ya traffic wa Tanzania sio usalama na utu bali ni fedha na mapato ya udhalimu yanayokusanywa eti yakalete maendeleo!!!!!
Umeongea 100%ukweli mtupu huwa natamani angalau wabunge waliongelee hili bungeni kwa kweli ni janga! Barabarani imekuwa ni kama jehanum unaendesha gari huku unawindwa sana japo unatii sheria zote lakini wao wakiona hivyo wanakutafutia Kosa lolote Bila kujali muda unaopoteza mizigo uliyobeba let us say ya biashara inacheleweshwa na Pia wanaweza acha hiyo gari wakarukia mzigo
Na sasa inakuja swala la cheti hapa tutasumbuka mno japo tuna leseni halali, nimesikia tayari madereva 850 wamezuiwa kuendesha hapo ni karibia familiya 800 zinaathirika ebu ona jinsi maisha yanavozidi kuwa magumu
Najiuliza kwa kazi za kitaaluma ufundi, ujenzi, udereva cheti ni Hoja sana zaidi ya experience ?
Kwanini ni magari tu? Madereva tusafiri na hela za ziada za njiani hadi lini? Kwanini basi na majengo yasianze kaguliwa? Cheti cha chuo? Mbona tunazolotesha speed ya uchumi? Hii ni sawa na kusema mafundi wote waliofanya kazi ya kujenga majengo hapa tz walete vyeti vyao vya chuo waliposomea fani ya ujenzi na
kama hawana basi jengo libomolewe!
Wabunge watusaidie Bara Bara ziwe smooth
 
Miezi mawili Nimeendesha gari ndogo canter tani Tatu ya mizigo kupeleka mikoani ni shida
Mfano mdogo wa safari ya Mtwara
Traffic wa mkoa wa Dar W nakusimamisha japo mara 2 au 3,ukiingia mkoa wa pwani utaanza simamishwa kuanzia vikindu , mkuranga, kiparanganda, kibiti , ukiingia mkoa wa Lindi utaanza simamishwa nangurukuru, kiranjeranje, Lindi mjini... Kote huko usumbufu sasa unaingia mtwara askari anakimbilia barabarani mbio anakusimamisha anaanza tafuta sababu, mtu nimetoka Dar Kote humo njiani nimesimamishwa sasa ninaingia mjini ambapo ndio destination yangu nazuiwa ati nikaguliwe!
 
Nchi ya amani kweli. Polisi anafyatua risasi. Chadema inashtakiwa kwa kuua kwa risasi.
Hii ndio tafsiri ya amani
 
Back
Top Bottom