Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,093
- 34,909
Tanzania? ni nchi ya ajabu duniani,
Tena ilitakiwa kwenye yale maajabu saba ya dunia,
?#?Seven_wonder_of_the_world?
(iwe namba moja),
Kwanini nasema hivii,ni
kua duniani hakuna kama tanzania,
1_Tanzanite_ipo_Tanzania_haipatikani nchi yeyote ilee,lakini Raia wake asilimia 99.38 hawayajui
Madini haya adhim on this world,
2_Nchi_imezungukwa_na_maziwa_mito_mabwawa_na_uoto_asili lakini wananchi hawana maji
safi ya kunywa na kupikia acha kuoga,
3_Uti_mgongo_wa_taifa_ni_kilimo_ila wananchi wake wana njaa wanategemea misaada ya
wahisani,
4_Bidhaa_zote_muhimu_kuazia chupi,sox,nepi,toothpik,viatu,nguo,nyembe,sindano.hata
vyakula tunaagiza kwa wezetu ughaibuni,
Je hili ni jalala nchi?
5_Serikali_inatumia_matrion_ya dola kuwasomesha baadhi ya raia wake so mwisho wa siku
wakishatoka masomoni hawarudi nchini kwao kupangiwa kazi bali wanabaki hukohuko na huku
taifa likikosa wataalam wa nyanja zotee,
Nini suluhisho?
2015 tuwarejeshe tena ccm?
Tatizo ni chama?
Ama katiba?
Au ni watanzania wote?