Google hydrology of Lake Victoria basin, and the source of the White Nile.Acha kuchanganya lugha ili uonekane unajua, fafanua nilichotaka ufafanuzi.
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
Nami nifafanue haya uliyoweka hapa, yasibaki kuwa kama fumbo:Inasikitisha sana kuona pamoja na umuhimu huu kimkakati sisi bado ni masikini sana.
Kabishi kanachanganya lugha ili kaonekane kanajua kumb kametazama kwenye ramani kakafuatisha na kidole mpaka Misri kisha kakakimbilia kuandika.Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.
Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
Ahahahahah nimecheka sana, maana mmoja ya bad reading habit ni hyo ya finger reading, nyingine ni loud/noisy, head moving maoja na mouth reading..Kabishi kanachanganya lugha ili kaonekane kanajua kumb kametazama kwenye ramani kakafuatisha na kidole mpaka Misri kisha kakakimbilia kuandika.
Waislam ni kiasi cha kukaza buti tu, tunawasilimisha na hawa waliobakiWaislamu wapo asilimia hizo napinga leo Kesho maana hakuna sensa iliyofanyika hizo ni data za kupika kutoka CIA nawashirika wake wengine, mimi nina kitabu kinachoonyesha asilimia za dini katika nchi duniani Tz imewekwa inawaislamu zaidi ya 50% tena hicho kitabu hakijaandikwa na Muislamu nikiseach niitaweka screenshots hapa.
Unajua kwa kupitia bandari tu ingewekezwa kusawasawa kuhudumia hizo nchi land locked countries, tungekuwa vizuri sana kiuchumiInasikitisha sana kuona pamoja na umuhimu huu kimkakati sisi bado ni masikini sana.
Unataka kuniambia waislamu(30%) ni wachache kuliko wakatoliki peke yao(40%) ya watanzania?Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.
Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
Mediterranean Sea siyo Bahari ya Sham.Mto Nile unatoa maji kutoka ziwa victoria na kuyapeleka Bahari ya shamu ,kwahyo mto nile unaanzia ziwa victoria.Congo Ina Msitu mkubwa lkn tz ina Mapori mengi
Unataka kuniambia waislamu(30%) ni wachache kuliko wakatoliki peke yao(40%) ya watanzania?
The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!Kakosea, Mto Nile unaanzia Rwanda ukifika Tanzania unaitwa Mto Kagera, mto huu hukatiza katika Ziwa Victoria, kama ulishabahatika kusafiri na meli ndani ya Ziwa Victoria, ukifika sehemu ambalo Mto Kagera unakatiza meli huwa inayumba sana, utaona baadhi ya watu wanarudisha chenji.
Badae unakatiza unaingia Sehemu ya Uganda-Sudani-Ethiopia-Misri unamwaga maji yake Bahari ya Sham..Bhari Nyekundu na hatimaye kuvaana na Bahari ya Mediterranean mpaka Bahari ya Atlantic.
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!Mto Nile unatoa maji kutoka ziwa victoria na kuyapeleka Bahari ya shamu ,kwahyo mto nile unaanzia ziwa victoria.Congo Ina Msitu mkubwa lkn tz ina Mapori mengi
...The Nile ina matawi mawili makuu - the White Nile and the Blue Nile. The latter, Blue Nile, origin yake ni Abissinia heights huko Ethiopia na huchangia 85% ya maji yanayoingia the Great Nile kuelekea Sudan all the way downstream to the Mediterranean! Be informed accordingly!