naunga mkono hoja, NGOs za huduma za kujitolea kama hizi ni zamuhimu sana nivema watanzania tukaanza kujijengea utamaduni wa kujitolea kusaidia kuokoa maisha.
Angalizo nnje ya mada: hili ni jambo muhimu sana , lakini utaona watu wanapita tu, no support, ila ongelea majungu hapa wasshadadiaji watakuwa lukuki.
Naomba watz tujifuze kutotegemea mtu ama watu fulani kutuondolea matatizo yetu. Itakuwaje cku wale tunao watrust zaidi wakatusaliti tutageukia wapi?