Actual | Previous | Unit | ||
---|---|---|---|---|
Tanzania Balance of Trade | -500.40 | -473.00 | Million USD | View Chart |
USDTZS - Tanzania Shilling Exchange rate | 1497.80 | 1494.35 | View Chart | |
Tanzania Current Account | -433.00 | -271.00 | Million USD | View Chart |
Tanzania Current Account to GDP | -8.60 | -10.20 | Percent | View Chart |
USDTZS Exchange Rate | 1574.50 | 1583.50 | View Chart | |
Tanzania Exports | 600.20 | 555.00 | Million USD | View Chart |
Tanzania GDP | 23.06 | 21.37 | billion USD | View Chart |
Tanzania GDP Annual Growth Rate | 6.50 | 6.40 | Percent | View Chart |
Tanzania GDP Growth Rate | 1.50 | 1.60 | Percent | View Chart |
Tanzania GDP per capita | 456.14 | 438.93 | USD | View Chart |
Tanzania GDP per capita PPP | 1433.21 | 1368.07 | USD | View Chart |
Tanzania Government Budget | -8.80 | -8.90 | Percent of GDP | View Chart |
Tanzania Government Debt To GDP | 43.80 | 40.90 | Percent | View Chart |
Tanzania Imports | 1100.60 | 1028.00 | Million USD | View Chart |
Tanzania Inflation Rate | 19.00 | 19.40 | Percent | View Chart |
Tanzania Interest Rate | 12.00 | 12.00 | Percent | View Chart |
Tanzania Population | 43.19 | 43.74 | Million | View Chart |
Tanzania Unemployment Rate | 10.70 | 11.70 | Percent | View Chart |
mkuu, Kenya pia ilikuwa kama 18.5% lakini sasa wanaelekea kwenye 'single digit'.I say check tena facts zako, hasa kulingana na inflation rate. Mara ya mwisho, October mwaka jana, Ethiopia walikuwa wana zaidi ya 40% inflation rate. Watakuwa wamefanya miracles kuirudisha hadi kuwa chini ya Tanzania. Raisi wao (sijui Waziri Mkuu) alikuwa akipingana vikali na Bunge juu ya namna ya kushusha inflation rate, hata kuwaambia Wabunge wa Ethiopia hawajui basics za economics.
Raisi wa Ethiopia amekuwa akiwawezesha sana wazalendo ku-invest kwa kuwapa capital support hadi asilimia 70% ikiwa tu wana equity ya 30%. Hataki kabisa foreign investors Ethiopia. Hata ukioa au kuolewa na mu-Ethiopia hupati hata kiwanja cha kujengea nyumba Ethiopia, na kama umeoa au kuolewa mkanunua nyumba utatakiwa uiandikishe jina la mkeo au mumeo Mu-Ethiopia. Matokeo yake kweli uchumi umeinuka na pia kumekuwa na investment nyingi sana za wazalendo, lakini inflation ika-shoot to more than 40%.
mkuu, Kenya pia ilikuwa kama 18.5% lakini sasa wanaelekea kwenye 'single digit'.
ndo maaana rwanda inaingia dunia ya pili!Umujubi kweli kabisa. Uzembe wetu tu ndio unatufanya tucheze kwenye digit mbili muda wote huu.
Nimeangalia update ya inflation rate ya Ethiopia, I am very impressed. Hebu angalia hapa (as of May 2012):
Ethiopia: The year on year inflation rate in Ethiopia fell to 29.8% in April (2012) from 32.5% in March (2012), showing a decrease for the second straight month according to the Central Statistics Agency. The inflation rate in Ethiopia is expected to decrease to less than 10% by November (2012) according to Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi.
Source: 2merkato.com - Ethiopian Business Portal - Business directory, tenders, trade leads
Tunaongoza pia kuwa na rais bogus of all times
Bogus kakuwekea Universities zaidi ya 10 kwa miaka 6, bogus anakutengenezea barabara za lami zaidi ya kilomita 11,000, bogus amekujengea shule za sekondari zaidi ya 5000 kwa miaka sita, bogus amekutandazia mawasiliano ya "fibre optic" nchi nzima. Bogus ameanza kkuwekea kiwanda cha kukufulia umeme utaofikia MW 1,000 mbeleni. Bogus anakujengea kiwanda cha kufuwa chuma kutokana ore inachimbwa hapahapa Tanzania kikubwa katika Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza katika historia. Bogus kakuletea kombe la Afrika Mashariki ambalo hujaliona toka enzi za Mwinyi. bogus kaweza kukuandalia utaratibu unayosimamia mali za Umma mpaka ukaweza kuujadili bungeni kinaga ubaga. bogus kakupunguzia uhitaji wa bajeti yako kutpka kwa wahisani toka asilimia karibia sitini kabla hajaingia madarakanai mpaka kufikia chini ya asilimia arubaini wakati wake na inaendelea kushuka. Bogus ambae katika kipindi chake una ziada ya chakula wakati kabla yake watu walikuwa wanakufa na njaa. Bogus kakufanyia Muhimbili kuwa na kitivo cha tiba za moyo na kukusomeshea waraalaam ambao kabla ya hapo ilikuwa amma ufe amma upelekwe nje ya nchi, bogus kakuwekea zahanati za huduma ya kwanza karibu kila kata katika Tanzania. Bogus kakuwekea ambulance zinazoweka mfikisha daada yako akitaka kujifunguwa haraka kwenye kituo cha afya. Bogus kakupa uhuru wa domokaya ambao hujawahi kuuona kabla ya ujio wake.
Pambaf.