johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
"SIX" tells the story of members of Navy SEAL Team 6, who are given a simple mission in 2014: eliminate a Taliban leader in Afghanistan. That task becomes more complicated when they make the discovery of an American citizen who is working with the terror group as a jihadi fighter. The series, which is inspired by actual events, is written by Oscar-nominated screenwriter William Broyles Jr. ("Apollo 13") and military special operations veteran David Broyles.inahusu nini
tupe habari kamili
Hii sijawai icheki mkuu labda unipe asaimentiKuna filamu moja yupo Tyler Perry Kerry Washington inaitwa Peeples Nakushangaa Sana kusikia wimbo wa chambua Kama karanga
Hhahahha wakenya wazoefu mkuu kwenye hivo vituwakenya hawajaona hiyo kitu?
Hawakawii kusema zanzibar ni kenyaHhahahha wakenya wazoefu mkuu kwenye hivo vitu
Kwanza inatangaza taifa duniani leo hii unajua cuba je ulishawahi kufika?Kuna vitu vinashangaza jamani sasa taifa tulikua na ndoto ya kutajwa kwenye movies za Hollywood kivipi na inalisaidia nini taifa 4????
Yakutaja niliisema kama remainder tu this time tumetoa location kabisa, sasa sielew ww umepanic na nnUnajua kuna mambo ukikaa ukachunguza kiumakini utajikuta bado waafrika tuna safari ndefu ya kujitambua.
Kisa kitu kimeigizwa na mzungu au tumetajwa na wazungu tunakiona cha thamani kubwa ajabu
Vipi kama kiswahili kingeongelewa na mmalawi???? Tungefeel ule uspecial ambao tunauona kwa mzungu???
Tafakari.
Sie si tumelala waache wajitangaze,Hawakawii kusema zanzibar ni kenya
Unaelewa maana ya location? tuanzie hapoMleta Mada kama hutojali, unaweza kuchambua japo Kidogo?
Maana kichwa cha Mada kinasema 'TANZANIA NDANI YA HOLLYWOOD'.
Na nimeiangalia hiyo Pati Gazeti ulioiweka sijaona chochote kuhusiana na ulichokikusudia.
Mimi nlikuja hapa mbio nkategemea kuna Mtanzania/Watanzania wamefikia hadhi kucheza Filamu kimataifa, kumbe ni tofauti kabisa.
Msaada tadadhali
Naam Kiongozi, nafahamu.Unaelewa maana ya location? tuanzie hapo
Hapo juu nimeweka trailer as a referenceNaam Kiongozi, nafahamu.
Naomba unisaidie kwenye hiyo Pati Gazeti, na kwenye Maelezo ya Mada yako inahusiana vipi na 'TANZANIA NDANI YA HOLLYWOOD'
Sababu sijakupata ulichokusudia kwenye Uzi huu
Sasa hapa ndio nimekupata vizuri sana.Hapo juu nimeweka trailer as a reference
labda nikuulize tena kuna movie ya marekani wamekuja kuectia tanzania?
Binafsi sijawahi kuona ila wenzetu kenya uganda somalia nk kila siku wanakaribisha wageni wa dizaini hyo,
Kikweli mm binafsi nimekuwa proud kwa hili coz nilikuwa najiuliza kwann wanaruka tanzania wanaenda msumbiji?
Kwa maelezo zaidi download huo movie utaona hyo locationa japo si part kubwa nahisi ep2 ndo inamuendelezo zaidi maana imeishia ndo wamefikia tanzania wameweka base,