Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Tff muwe mnaangalia na uwezo was waalimu timu ya taifa inacheza kama wachzaji wa vijijini kila Sikh tunajifunza mpaka lini
 
FT;DRC 1 vs Tanzania1. Mchezo ulikuwa mzuri,vijana walipambana. Yule star wetu, captain..Samata...hakucheza. Vijana walijiamini,kila moja alijiona anaweza kuchangia ushindi.
 
FT;DRC 1 vs Tanzania1. Mchezo ulikuwa mzuri,vijana walipambana. Yule star wetu, captain..Samata...hakucheza. Vijana walijiamini,kila moja alijiona anaweza kuchangia ushindi.
Poulsen apongezwe mnoo ni rahisi sana kufanikisha MBINU kwa KUTUMIA wachezaji wa kawaida kuliko senior players hilo ndo analolifanya na amefanikiwa kuondoka na point moja muhimu ugenini Kibabage,Lusajo,Mzamiru,Novatus Lufunga majina ambayo sio common kuonekana lakini wamefanya walichoagizwa bado kumaliza shughuli nyumban hapa wakija
 
Taifa stars isipobeba kombe LA dunia Qatar sio mbaya maana tumeweka Rekodi ya goli la haraka zaidi duniani
 
Back
Top Bottom