Tanzania named as the Africa’s worst democratic performer in 2018

Tanzania named as the Africa’s worst democratic performer in 2018

Kwa kweli tuko vibaya, hoja ya kushughulikia maendeleo ya wanyonge haina mashiko. Hali ya umaskini imezidi kuongezeka watu wameshindwa kuuza mazao yao tena kwa bei ya chini sana. Mahindi gunia shs. 9,000/=, kahawa sh. 2000/=, nk. Halafu watu wansleta sifa za kijinga hapa
 
Wavivu & wabadhilifu lazima wawe maskini enzi hizi
Nchi hii imeajiri watu laki 5,unaambiwa masikini milioni 2 wameongezeka,unakimbilia kusema hao ni wapiga deal!!!!
Akili za lumumba ni za kulenga tundu la choo tu!
 
Ethiopia tops, Tanzania flops – 2018 Freedom In The World Report | Africanews

The Freedom in the World 2019 report noted that Tanzania, despite being classed ‘partly free’ democratically, retrogressed over the past year with -7 score along with Venezuela, the worst score above both being Nicaragua.

“Space for political activity continued to close in several countries, notably Tanzania, where the government arrested prominent opposition leaders, stifled anti-government protests, and pushed for legislation that further strengthens the ruling party’s stranglehold on domestic politics, it said.

At the opposite end of the ladder, Ethiopia, though still not free democratically made the largest one-year gain in improvements in conditions for political and civil liberties. The other big mover was Malaysia, the report added.

Ethiopia under Prime Minister Abiy Ahmed made the biggest democratic gains in the world in 2018, this is according to a recent report released by Freedom House – a U.S.-based organization.


READ FULL REPORT FROM HERE
Freedom in the World 2019: Democracy in Retreat
Kumuambia mtu mzima A ni B sii jambo rahisi kueleweka, hivyo wataalamu wa kubadili A kuwa B huwa wanaanza na watoto ili wakue na dhana ya A yaweza kuwa B.

Hao hao ndio huamua nani mzuri & nani mbaya, nani mkosefu & nani mwenye haki, n.k. TZ lini tutaachana na dhana ya kuwa dampo?
 
Nchi hii imeajiri watu laki 5,unaambiwa masikini milioni 2 wameongezeka,unakimbilia kusema hao ni wapiga deal!!!!
Akili za lumumba ni za kulenga tundu la choo tu!
Mzee kuajiriwa sii suluhisho la matatizo yako & pia sii lengo la elimu yetu. Fuatilia statistics za waajiriwa sekta ya umma kwenye hizo nchi uzishabikiazo ndio uje ujibu andiko hili.
 
Mzee kuajiriwa sii suluhisho la matatizo yako & pia sii lengo la elimu yetu. Fuatilia statistics za waajiriwa sekta ya umma kwenye hizo nchi uzishabikiazo ndio uje ujibu andiko hili.
Hata hujaelewa msingi wa hoja yangu!Unaposema hao masikini mil 2 walioongezeka ni wapiga deal,ndio nakwambia waajiriwa ni laki 5!Unawezaje kupuuza taarifa za WB kuwa watu mil 2 wameingia kwenye umasikini na kuwaita wapiga deal?
Huoni namba hazimatch kabisa???
Kama bado hujaelewa,usiku mwema!
 
Utumwa ulipomalizika wale wazungu waliokuwa na watumwa waliambiwa waache huru
Lakini cha ajabu Wazungu hao hao wakadai fidia za kuwasababishia hasara ya kukosa watumwa wao, hivyo kulipwa fidia
Lakini mtu mweusi hakuwa na thamani kabisa, badala ya kupewa pole na heshima bado alidharauliwa na kunyanyaswa mpaka hivi leo
Halafu mnaita hao wana demokrasia
Ntatukana mimi halafu nijipe na ban mwenyewe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
You are what you think, not what you talk.

You are thinking is about black dick!

Please just go and do your job.
Sure. Bend over.

You'll start breathing via a stinking hole.

I'll screw it like hell.

I'm from MARA with the Strong CASSAVA you deserve.
 
Kila mtu huamini kile apendacho kuamini,kama umependa kuamini hizo ripoti siwezi kukupinga ila naweza kukushauri ufuatilie ukweli juu ya taarifa ya ripoti hiyo. Usishangae kuja kusikia ripot ya hao hao unaowaamini ikidai kuwa TZ hakuna maskini kabisa au TZ watu wanakufa njaa & Raisi kazi yake kula bata tuu.

Funzo; jifunze kuutafuta ukweli halisi, sii kila taarifa/kitu ni cha kuamini.
 
Wapo wakulima na wafanya biashara!Kwa lugha nyingine kafanikiwa kuongeza wafuasi wa ccm maana kwa mujibu wa tafiti za Twaweza,waungaji mkono wengi wa Ccm ni masikini,wajinga na wazee!
Na yeye mwenyewe amekwushasema ni rais wa wanyonge/maskini. Wanaooongezeka ni faraja yake maana anaongeza idadi ya watu wa kuwatawala.

Nadhani hasa anachomaanisha ni wanyonge/maskini wa akili. Nao wametapakaa kila mahali mpaka hapa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom