Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 813
- 879
Umenena vyema mkuu.Intelejensia na Technolojia kwenye ulinzi ndio vitu muhimu kwa sasa.
Huhitaji watu weeengi, Bali unahitaji nguvu kazi chache yenye akili na uwezo wa kutumia Technolojia kuzuia na kukabilia na hatari zote.
ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
Jeshi imara la kuuwa raia wake. Juzi kati hilo jeshi mdebwedo askari wake walitekwa na M23 wakiwa kwenye operation Congo DR.
Uwezo mkubwa? Kwa kigezo kipi? Kma tungekua na intelijensia nzuri sidhani kama angekua Rais!! Na pia mauaji ya mwaka jana isingetokea.