Jamani hivi Tanzania ni Dar es Salaam peke yake? Kwani kila kitu Dar, ujenzi/ ukarabati wa miundombinu ya kwanza dar, hivi ni kwanini? Ndo maana mikoa mingine haiendei kwanini lakini?
CHADEMA waliposema sera za Majimbo watu wa CCM walipinga sana na WaTanganyika hawajui faida yake. sasa si mnaona kila kitu ni Dar, hata km rasilimali nyingi zinatoka mikoani lkn kipaumbele ni Dar huko mikoani kwetu hakuna kitu kinafanyika.