Zakumi,
Vipi yamekuwa hayo!..
Basi umepotosha maana kwa sababu hakizungumziwi chombo isipokuwa progam hiyo ya SAP iliyoturudisha nyuma..
Tunamlaumu Kikwete sio kwa sababu ni Kikwete isipokuwa kwa vitu ambavyo ameturudisha nyuma akiwa rais, yawezekana kabisa kuna kuna mazuri aloyafanya kabla..Tunachopima ni pale alipochukua yeye baada ya Mkapa. Makosa au mapungufu ya Mkapa yatabakia na Mkapa..