Tanzania na Maendeleo ya Wajinga - What did Nyerere do?

Zakumi,
Mkandara:

I said what I had seen.
__________________
Vipi yamekuwa hayo!..
I am not sure if you understood me. Nimetoa mfano kuonyesha kuwa WB na IMF sio wa kulaumiwa. Kwa sababu kabla ya SAPs kuanza in full swing, walishasaidia sana modernity yetu.__________________

Basi umepotosha maana kwa sababu hakizungumziwi chombo isipokuwa progam hiyo ya SAP iliyoturudisha nyuma..
Tunamlaumu Kikwete sio kwa sababu ni Kikwete isipokuwa kwa vitu ambavyo ameturudisha nyuma akiwa rais, yawezekana kabisa kuna mazuri aloyafanya kabla..Tunachopima ni pale alipochukua yeye baada ya Mkapa. Makosa au mapungufu ya Mkapa yatabakia na Mkapa..
 
Zakumi,

Vipi yamekuwa hayo!..


Basi umepotosha maana kwa sababu hakizungumziwi chombo isipokuwa progam hiyo ya SAP iliyoturudisha nyuma..
Tunamlaumu Kikwete sio kwa sababu ni Kikwete isipokuwa kwa vitu ambavyo ameturudisha nyuma akiwa rais, yawezekana kabisa kuna kuna mazuri aloyafanya kabla..Tunachopima ni pale alipochukua yeye baada ya Mkapa. Makosa au mapungufu ya Mkapa yatabakia na Mkapa..

Mwanasiasa akienda WB, IMF na kwa Wahisani wengine, atasema ni mafanikio yake.

Juhudi kubwa alizofanya Nyerere ni ku-convice WB, IMF na Wahisani wengine kuwa yuko genuine kutumia pesa zao.

Mpaka sasa unatumia juhudi kubwa kutunishawishi kuwa ni juhudi za Nyerere zilizofikisha literacy rate kwenye 90%. Lakini behind the scene ni WB, IMF na Wahisani wengine walioweka resources zao.

Sasa WB, IMF na Wahisani wakisema punguza matumizi katika sekta ya jamii, unaanza kuwalaumu. Utatoaje lawama wakati pesa ni zao ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom