Hii ndiyo hasara ya kuruhusu vibaka wa CCM kupora chaguzi na kushika dola.Kibaka akishika dola usitegemee la maana katika nchi.View attachment 2034651
Ndugai anapiga pesa za umma taratibu
Jamaa wanazitafuna haswa bila hurumaAnaonekana ndani ya vesti nyeupe:
View attachment 2034695
Wanaziita ni pesa za mama siyo za umma:
View attachment 2034697
Jamaa wanazitafuna haswa bila huruma
Kwa huu mfumo mbovu na wananchi wajinga jamaa ni halali yao kupiga pesa za umma na familia zakoNdiyo maana wanashangaa wakisikia kuna wanaohoji uhalali wa wao kuendelea kuzitafuna kwa raha zao
Wewe ni muongo pia wote ni mapopo umeshasahau kuwa na nyie mlimsema Lowasa na baadae mkaja kubadilika akawa mgombea wenu? au tukuwekee na clip zenu mlivyokuwa mnaongea.Anaonekana ndani ya vesti nyeupe:
View attachment 2034695
Wanaziita ni pesa za mama siyo za umma:
View attachment 2034697
Wewe ni muongo pia wote ni mapopo umeshasahau kuwa na nyie mlimsema Lowasa na baadae mkaja kubadilika akawa mgombea wenu? au tukuwekee na clip zenu mlivyokuwa mnaongea.
Wote mkubali mnafanyia kazi matumbo yenu na wala si wananchi hakuna anayewaamini wanasiasa.
Pamoja na Fojary waliyoifanya CCM kuchukua Covid kumfanyakuwa mpinzani , nadhani bado Esta Matiko amejitahidi ku ''present issue'' ya upinzani Tanzania angalau kwa ufinyu wake .
La msingi ame wabeba CCM na kuwatowa kimasomaso ili awafanye waonekane si waovu wa kuangamiza Democracy TZ.
Lakini hii ndio Uhalisia kwa Afrika nzima, Democracy Inategemea 'THE LEADER OF THE DAY' Kwa vile katiba zetu ni mbovu na mifumo yetu ya utawala ni mibovu ,na hatuna taasisi zilizo huru kiutendaji ,zkiwemo Mahakama Bunge, Tume ya Uchaguzi ,Polisi na Tume ya Kuzuia Rushwa.
Hizi zote ni 'bised' na chama Tawala .
Dawa hapo ni kuungana wananchi kwa umoja na kuhakikisha linawekwa kwenye mafiga matatu, mnatafuta kuni na kuja kuziweka hapo chini na kuziwasha moto, then mnachocheaaa wewe mpaka milkshake inavuka joto 100 centigrade, wote wanakufa then mnawamwaga sasa na kuliharibu hilo chuma kwa kuliyeyusha.Kwani kuna hata haja ya kumung'unya maneno?
Esther Matiko, kama Profesa Ndalichako, Mdee, au Ndugai wamejaa tele kwenye sufuria hili na wako vizuri:
View attachment 2034731
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Wote wanajishughusha kwa ajili ya matumbo yao usiwaamini full stop.Kwa hiyo unasema je kumhusu Lowassa mliyemwita fisadi na sasa yuko nyumbani ametulizana?
Dawa hapo ni kuungana wananchi kwa umoja na kuhakikisha linawekwa kwenye mafiga matatu, mnatafuta kuni na kuja kuziweka hapo chini na kuziwasha moto, then mnachocheaaa wewe mpaka milkshake inavuka joto 100 centigrade, wote wanakufa then mnawamwaga sasa na kuliharibu hilo chuma kwa kuliyeyusha.
Wote wanajishughusha kwa ajili ya matumbo yao usiwaamini full stop.