Tanzania, Mtaa kwa Mtaa

Ama kweli hizi picha zimedhihirisha 'uneven distribution' ya rasilimali. Just compare Dar,Arusha V/S Maswa,Mbeya &Musoma.. Really hurting..
 
Tuna mandhari nzuri lakini mijengo inatuangusha bana
 
Thanks for picha. Lakini si vizuri ulivyoweka list ya wanawake waliopo leba Mwananyamala, nimeona jina la mke wangu
 
Mbuzi Mzee niko mbioni kukuundia Tume,yaani katika picha zote hujaweka picha ya Kahama aka City of gold?
 
Last edited by a moderator:
Majengo Mbeya ndio hii

Wakuu leteni picha za Mitaani tuone


Hapa pamefanana kidogo kama Babati, ule mtaa ulio kushoto mwa barabara inayotoka Singida kabla ya junction ya Kondoa, ukiwa uko karibu na maeneo ya White Rose (mitaa iliyo kushoto mwa barabara ya kutoka singida ukia maeneo hayo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…