N NEWSINKP Member Joined Sep 26, 2016 Posts 77 Reaction score 95 Aug 21, 2021 #1 Wakuu nawasalimia! Kuna hii taasisi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanzania Mentors Action (TMA). Naomba kufahamu kama bado ina operate na je, wanalipa vizuri? Yeyote mwenye uelewa kidogo a nisaidie.
Wakuu nawasalimia! Kuna hii taasisi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanzania Mentors Action (TMA). Naomba kufahamu kama bado ina operate na je, wanalipa vizuri? Yeyote mwenye uelewa kidogo a nisaidie.
kizomanizo Member Joined Jan 26, 2010 Posts 71 Reaction score 21 Sep 2, 2021 #2 Wakikuita kazini kimbia haraka wahi, wako vizuri sana tu!