Tanzania Kuwa Mpinzani (chama cha Upinzani) ni kupoteza Muda na Nguvu

Vidonda vya tumbo kwa sababu gani!? Wenye hofu ya kuondolewa madarakani ndiyo wanapata hayo matatizo. Kukosoa na kupinga maovu ya wenye mamlaka ni utume! Ndiyo maana pamoja na vitisho na kuumizwa bado Mungu anawapa wapinzani nguvu za kuwasemea wanaokandamizwa na watawala.
Wapinzani wasife moyo, Mungu atawalipa kwa wakati wake!
Amina
 
Back
Top Bottom