Tanzania Kurusha Setelaiti Ya Kwanza

Mamaaaaa. Hivi tarehe ngapi Leo wadau?
 
Kama tunaweza kusafiri na ungo, hayo mengine hayashindikani.
 
na escrow kila sehemu huo mwaka ni kesho kutwa tu never ,kumbuka wenzetu pia hawajasimama
 
hahahahaha mbona mapema sana???? ingekua toleo la tar 2 JAN 3720
 
satelite ya rushwa ndo sera ya ccm
 
hahaha ongeza tanzania yashinda kombe la dunia la mpira wa miguu kwa mara ya 10 tena

ongeza tanzania yanyakua medal 345 za olimpiki kushinda usa, china, gbr combined together
 
Tanzania yaipa uingereza Msaada usio NA riba WA dola milioni therathini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…