Tanzania kupanda viwango vya FIFA

Tanzania kupanda viwango vya FIFA

Tanzania imewahi kutoa suluhu vs Ghana[1 -1]
Tanzania imewahi kuifunga Camerun[friendly]

Kwa kuwa Tanzania iliitoa suluhu na Ghana..
Na kwa kuwa Ghana ilitoa suluhu na Ujerumani..
Na kwa kuwa Ujerumani iliifunga Brazil 7-1 jana..

Basi inawezekana kwamba Tanzania ina kiwango kikubwa kuliko Brazil..:wacko:

Mathamatically wasipotumbandisha kiwango tukate rufaaa....
 
Back
Top Bottom