kuna uvumi mitaani eti iwapo matokeo ya mechi ya leo kati ya german na brazil yakibaki kama yalivyo itapelekea tanzania kupanda viwango vya fifa kwa ubora..anayelifahamu hili amwagike hapa tuelewe

Lol.....
...........
Ngoja saa hizi naenda kulala nitakujibu morningkuna uvumi mitaani eti iwapo matokeo ya mechi ya leo kati ya german na brazil yakibaki kama yalivyo itapelekea tanzania kupanda viwango vya fifa kwa ubora..anayelifahamu hili amwagike hapa tuelewe
Ahaaaa mpira wetu ule wa kupigisha ramli na kuvaa matunguli kila mechi kumbe bado upo? Sawa, waache FIFA watusanifu tu, kwani hata tukipanda chati hatuendi kokote kisoka. Hata watuonee huruma kwa kutupa nafasi ya kwanza duniani bado tu tutafungwa na Somalia, Comoros, Seychelles, Rwanda, Burundi.
kuna uvumi mitaani eti iwapo matokeo ya mechi ya leo kati ya german na brazil yakibaki kama yalivyo itapelekea tanzania kupanda viwango vya fifa kwa ubora..anayelifahamu hili amwagike hapa tuelewe
Tanzania imewahi kutoa suluhu vs Ghana[1 -1]
Tanzania imewahi kuifunga Camerun[friendly]
Kwa kuwa Tanzania iliitoa suluhu na Ghana..
Na kwa kuwa Ghana ilitoa suluhu na Ujerumani..
Na kwa kuwa Ujerumani iliifunga Brazil 7-1 jana..
Basi inawezekana kwamba Tanzania ina kiwango kikubwa kuliko Brazil..:wacko:
halaaa kumbe,dah!haya shukrani mkuu kwa kunijuza,nambie lakini jirani..ngoja nikutembelee kidogo hapo kwenye daraja mana swaumu imekamata vibaya