Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
N wazo zuri
Lifanyiwe kazi
Tuachane na makaratasi
Zama za kidijitali hizi
Lifanyiwe kazi
Tuachane na makaratasi
Zama za kidijitali hizi
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya EFD inagharimu takriban Tshs.800,000/=, lets say tunawafanya biashara milioni 1 wanaohitaji hizo mashine, it means kuna kama trillion 1 itabidi itumike kuagiza hizo mashine toka nje.
How it works.
1.) Mfanyabiashara ata Login kwenye app yake kutumia TIN no. yake kama user name, na kutumia password/passcode yake ili kuweza kupata access ya hiyo app ambayo imeunganishwa moja kwa moja na TRA. Hii inamaana anaweza kutumia simu yoyote ambayo inahiyo app.
2.) Baada ya ku-Login, anaweza kufanya function zote za EFD machine kwenye hio app, mfano ili kutoa risiti, ataingiza parameters zote za aina ya bidhaa aliyouza, kiwango cha pesa alichopokea, jina la mteja alienunua, namba ya simu ya mteja, TIN ya mteja nk., na baada ya kuingiza namba yake ya siri(kama unavyoingiza kwenye tigopesa) atabonyeza submit, na moja kwa taarifa za hayo manunuzi zitatumwa TRA, na immediately TRA systems zita-generate ana electonic receipt (kama receipt za miamala ya tigopesa) na receipt hiyo itatumwa kama ujumbe kwenye simu ya mteja pamoja na app ya mfanyabisahara kumfahamisha kwamba receipt aliyoomba imetolewa kwa mteja kikamilifu.
3.) Mteja atakaposimamishwa barabarani kwa ajili ya ukaguzi wa risiti ya mzigo alionunua, ataonyesha ile meseji ambayo namba zake za kumbukumbu zitaingizwa kwenye app ya wakaguzi ambao nao watalogin kwenye simu zao zilizounganishwa na system za TRA, na wataweza kugundua kama hiyo meseji ya receipt ni authentic au ni fodgery.
4.) Tuendelee kuiboresha...
DON FRANCIS
Mbona GePG inapiga mzigo ?kwa server za ki-serikali, utasubiri kesho kutwa ujumbe wa risiti kuja
rejea NIDA, na ile system ya kulipia kodi za nyumba
GePG kwa simu ni USSD basedMbona GePG inapiga mzigo ?
Changamoto zifanyiwe kazikwa server za ki-serikali, utasubiri kesho kutwa ujumbe wa risiti kuja
rejea NIDA, na ile system ya kulipia kodi za nyumba
Hata hii inaweza ikafanywa USSD based kama SIM banking, tuendelee kuboreshaGePG kwa simu ni USSD based
Ukiwashauri wanakugeuka na kukuona mwiba na huenda waiikubali kwakuwa itaziba mianya yao ya kuiibia nchiWazo lako ninaweza kuwa zuri ila viongozi wetu hawana uwezo wa kufikiria mambo kama haya.
Ile 800,000/= ni mwiba kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, mwishowe wanauza bila kutoa receipt na kukosesha mapatoZile ni simu tu, zilizoungwa na printer, ile laki8 ni wizi mtu bei halisi haifiki hata laki3, plus software yake.
Najiulizaga why ile mashine isngekuwa upgraded ikawa inaswip bank card kabisa na kiwa scanned na mobile phone kwenye malipo.
Then TRA watoe punguzo au rejesho kwa mtu atakayelipa saaana online kuliko cash. yaani ukifanya malipo meengi then TRA ikutambue na ikizawadie interms of small amount of money au other benefits.
Wenzetu wanatumia hizo kupunguza mikopo yao bank (%interest inapungua), au ukitaka kupanga nyumba ya serikali unaipata kiurahisiau kununua nyumba za serikali and ......
Lazima wawe wabunifu ili malipo mengo zaidi yafanyike online kuliko cash, inafaid kwa mabank na serikali pia
Safi sana, tunategemea kuona large scale roll out ya huo mfumo ili tupate matokeo chanya zaidiWakuu hili mbona tayari limeshafanyiwa kazi? Na tayari imeingia sokoni inaitwa SIMPLIFY ni web based system.
Inakuja kuziondoa sokoni mashine za EFD na tunakuja na VIRTUAL FISCAL DEVICE, nadhani hizo EFD hazina maisha marefu ndani ya miaka mitatu zitakua zimeisha.
Monopoly again? Open up api.Wakuu hili mbona tayari limeshafanyiwa kazi? Na tayari imeingia sokoni inaitwa SIMPLIFY ni web based system.
Inakuja kuziondoa sokoni mashine za EFD na tunakuja na VIRTUAL FISCAL DEVICE, nadhani hizo EFD hazina maisha marefu ndani ya miaka mitatu zitakua zimeisha.
Ofcourse it is, kuna systems zinatakiwa kuwa hivyo tu and I do support. Hii njia itakua effective hasa kwa upande wa serikali kukusanya mapato kwa usahihi. Inakuja kuponya mischiefs zote zilizotokana na EFDMonopoly again? Open up api.
Siku zote changamoto ni za kufanyia kaziIyo ngumu watapiga changa la macho
Wakifungua API itakuwa easy kukusanya mapato kwa sababu watu hawatahitaji kujiunga na mfumo wa TRA ambao ukiwa mmoja matatizo ya Monopoly tuliyoyaona kwenye EFD yatarudi tu in different form.Hii njia itakua effective hasa kwa upande wa serikali kukusanya mapato kwa usahihi. Inakuja kuponya mischiefs zote zilizotokana na EFD
Mawazo haya ndiyo yameitia nchi hasara kila kona.Ofcourse it is, kuna systems zinatakiwa kuwa hivyo tu and I do support.