Tanzania kujenga reli hadi DRC

Tanzania kujenga reli hadi DRC

Hapo itakuwa rahisi kwa kina sultan makenja na bosco ntangaza kufuka bongo , kwani pia M23 watafurahi xana.
 
'Dar hadi Kigoma masaa 4'

Na mimi ndiyo nilikuwa nashangaa!!!

Masaa manne kwenye reli gani?! Kujenga reli mpya yenye uwezo wa kuhimili mwendo mubwa kwa miaka mitatu?! Hizi ni ndoto za mchana!

Mwakyembe aache siasa kwenye maswala ya kitaalamu?
 
Haya ni maneno ya kujiliwaza! Kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 toka tupate Uhuru, tumefanikiwa kujenga reli moja tu kati ya Itigi na Singida tena kwa ajili ya kusafirisha kuku. Hizo treni za kisasa zitawezekana kweli?
 
Yeah, its possible kabisa. Huu mdude unakula 330km/hour, from DSM - KGM ni km ngapi vile!! Ni vipaumbele tu, kama nchi tukiwekeza katika reli uchumi wetu utatisha. Lakini tumekomaa na hivi vibasi vinavyotuua kila siku sijui ni lini ndoto hii itakuwa kweli.

Mkuu ni kweli high speed trains zipo kwa wenzetu, lakini tuelewe kwamba mtoto hakimbii kabla ya kutambaa.

Wenzetu hawakufikia hiyo 350kph kwa siku moja. Walikwenda hatua kwa hatua.

Tanzania hatuwezi kuanza kuzungumziz 350kph wakati kwa sasa treni zetu hazifikii hata 70kph! Lets be realistic!
 
Duh hii kali.

'Dar hadi Kigoma masaa 4'
Mimi nimejiuliza kuhusu treni za ghorofa!
double%20decker13feb25%201.jpg


double-decker-train.jpg


23THTRAIN_1436540f.jpg
 
Yeah, its possible kabisa. Huu mdude unakula 330km/hour, from DSM - KGM ni km ngapi vile!! Ni vipaumbele tu, kama nchi tukiwekeza katika reli uchumi wetu utatisha. Lakini tumekomaa na hivi vibasi vinavyotuua kila siku sijui ni lini ndoto hii itakuwa kweli.

hii kwa Mwanza to Kigoma ni two hours..mambo haya yanawezekana tukiamua leo na wakati huu
 
Haya ni maneno ya kujiliwaza! Kwa kipindi cha miaka zaidi ya 50 toka tupate Uhuru, tumefanikiwa kujenga reli moja tu kati ya Itigi na Singida tena kwa ajili ya kusafirisha kuku. Hizo treni za kisasa zitawezekana kweli?

tuambie sasa wapi tulishindwa,kikwazo kikowapi??tusilaumiane mara moja tushauliane
 
Kwa mwakyembe kama mwakyembe inawezekana aingie ppp na china hata makubaliano yawe chn 7 kwa tz 3 hapana tabu
 
Mkuu ni kweli high speed trains zipo kwa wenzetu, lakini tuelewe kwamba mtoto hakimbii kabla ya kutambaa.

Wenzetu hawakufikia hiyo 350kph kwa siku moja. Walikwenda hatua kwa hatua.

Tanzania hatuwezi kuanza kuzungumziz 350kph wakati kwa sasa treni zetu hazifikii hata 70kph! Lets be realistic!
Mkuu vipaumbele tu hakuna miujiza hapo. Angalia viwanda vya chuma tunavyo nikuviwezesha kidogo tu tunasonga mbele. Mfano: Kama Vodacom, Tigo etc yanaweza kukimbiza na technolojia ya simu inayokua kwa kasi, kwa nini tusiweze kwenye usafiri wa reli? Kama mabenki yatu yanaweza kutoa huduma kama zilivyo benki za nchi zingine, kwa ninii kusiwe kwenye usafiri wa reli? Jibu siyo kuwa realistic ni utashi wa wanasiasa pamoja na vipaumbele. Huwezi kuzungumzia kumsaidia mwananchi wa kawaida kwa usafiri wa mabasi huku miundo mbinu ya barabara ikiwa haina mazingira rafiki kwa wadau wote, huku ukijua 80% wana kipato cha chini mno. Mambo haya yanawezekana kama tukiamua leo, 2020 tutakuwa tunazungumza kupeleka rocket juu kwa ajili ya mawasiliano yetu wenyewe.
 
hizi ngeli za wakati hatujaanza zisikia leo wala jana wafanye action sio tuta..... ifikapo.......tumejipanga....tunajiandaa....
 
Mkuu ina maana Tanzania tuna mpango wa kununua Bullet Trains,TGVs au - hilo ni wazo zuri sana lakini aliwezi kutekelezwa bila kuwa na umeme wa kuaminika nchini. Mimi naona wakazania trein za mizigo kwanza, haya mambo ya mabehewa ya ghorofa na viyoyozi visubiri kwanza - leteni mabehewa ya kawaida kwa ajili ya kusafirishia abiria.

Mkuu hilo ni wazo zuri ila wadau washapiga kelele ila kuna watu wana mgangano wa kimaslahi wamewekeza kwenye malori ya mizigo hadi ng'ombe wanasafrishwa kwenye magari.
 
Inawezekana:

1. Reli za njia mbili inayokwenda inakwenda na inayorudi inarudi!
2. Za ghorofa
3. Na kuhakikisha treni inakuwepo zaidi ya moja na kufufua vituo vya treni kila miji ili kukuza na kurudisha uchumi wa miji ile.

4. Kwa sasa Magari ya Mizigo yamelemewa na tayari baadhi ya mizigo yanaharibu barabara zetu.

5. Wazingatie viwango vya kimataifa ili hata yale mamashine makubwa yanayohitaji kusafirishwa kwa treni iwe raihisi na reli mudu. Kwa sasa magari yanaharibu sana barabara zetu utaona ukipita kutoka Kibaha mpaka Morogoro na ukifika mizani unaona kabisa michirizi ya uzito, labda reli itaokoa gharama hizi. (sijadili ubora wa barabara maana michirizi hii haipo kuanzia Chaline mpaka ukifika Mikese ndo unaiona inaonyesha kiwango cha ubora wa barabara hiyo.)
 
da kama kweli hiyo mipango wakaitekeleza kwa vitendo tutapiga hatua sana ktk nyanja ya maendeleo!!!
 
Yeah, its possible kabisa. Huu mdude unakula 330km/hour, from DSM - KGM ni km ngapi vile!! Ni vipaumbele tu, kama nchi tukiwekeza katika reli uchumi wetu utatisha. Lakini tumekomaa na hivi vibasi vinavyotuua kila siku sijui ni lini ndoto hii itakuwa kweli.

Safi sana Mwakyembe,

Mdude kama huu unawezekana acha watu wakubeze la muhimu ni kuweka mazingira mazuri ya upatikanaji wa nishati ya umeme na stability in the region. The rest is possible uchumi wetu unahitaji reli vyenginevyo tunacheza kiduku. Na reli kama hii ni muhimu kuongeza spidi ya maendeleo nchini.
 
mungu akubariki sana kamanda mwakyembe,piga kazi,una mchango mkubwa sana katika kuiwezesha ccm kushinda uchaguzi mkuu ujao
 
Back
Top Bottom