Tanzania kuiuzia Umeme Afrika Kusini

Tanzania kuiuzia Umeme Afrika Kusini

Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo

Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya Biashara imesainiwa

Source ITV Habari
Huyu mama hajawahi kuwa serous na maswala ya kitaifa
 
South Afrika wanazalisha 18Gwh
Tanzania inazalisha 1.6Gwh

Tukijumlisha 2024

Tutakuwa na 3.8Gwh

Sasa hapo tutamuuzia nini SAfrika?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hivi ile biashara ya kuuza Ethiopia imeishia wapi
 
Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo

Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya Biashara imesainiwa

Source ITV Habari
Hata hao wa Afrika Kusini itakua wamecheka. Tz ipi hiyo ikauze umemw South?
 
Umbali kutokea Tanzania mpaka South Africa in 4,032.2 km (2,506.04 miles). Waya ya kusafirisha high-voltage kwa mile moja ni kati ya 1.7M USD - 5.3M USD, Tuchukue average lbd 2.3M USD, mkongo wa umeme unachukua kuanzia waya 3 mpaka 6, tuchukue average waya 4.

Cost ya waya pekeyake kutokea TZ mpaka SA ni ( 2,506.04 miles Ɨ 2.3M USD Ɨ 4) =
Mzee hapa umtuchota mzee... Kwa hyo garama ya kununua waya toka dar to mbeya ni zaidi ya trillion 1

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo

Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya Biashara imesainiwa

Source ITV Habari
Kwi Kwi Kwi
 
Dah, ama kweli vichekesho havijawahi kuisha Tanzania!! Kila siku tupo gizani hamna umeme!! Huu wenyewe tunaopewa kwa dk chache kwa siku ndo wawauzie S.Africa,

Labda basi sisi watanzania tubakie kwenye giza tororo wao ndo wauziwe huo umeme!!
Unashamgaa nini? Hii ndiyo Size ya IQ ya mtu mweusI, ukigundua hii wala huwezi kushangaa

Hata uwe wapi Sawa tu, Haiti, Papuan New Guinea, wala haziko Africa
 
Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo

Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya Biashara imesainiwa

Chanzo: ITV Habari
This was the original plan of the Stirglers Gorge dam project, to link it with the Caborra Bassa dam in Mozambique and the Ing dam in Zaire for one Power Pool to supply South Africa, the Zaire ni es and the growing demand in Tanzania and the scarcepower Kenya. It was not to be, the mabeberu torpedoed it.
 
Sidhani kama tunaweza fikia hata robo matumizi ya umeme wa south maana huu wa kwetu tu bado tia maji tia maji, ila wanasiasa bhna wanachukulia vitu kiwepesi wepesi sana
 
Juzi tumekaa siku mbili bila umeme labda tuwachangie Giza.
 
Tanzania itaiuzia Umeme Afrika Kusini kufuatia Nchi hiyo kukumbwa na msukosuko mkubwa wa nishati hiyo

Hayo yamebainishwa katika ziara ya Rais Samia nchini humo ambako mikataba mbalimbali ya Biashara imesainiwa

Chanzo: ITV Habari
Hahahaha haaaa!!!
 
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inafikiria kununua umeme kutoka nchini Tanzania ili kusaidia katika kutatua tatizo la nishati nchini humo.
Ameyasema hayo wakati wa mkutano na Rais Samia Suluhu Hassan katika Majengo ya Muungano mjini Pretoria Alhamisi Machi 16, 2022 ikiwa ni sehemu ya ziara ya Kiserikali ya Rais Samia na kikao cha pili cha Tume ya Pamoja ya Afrika Kusini na Tanzania.

"Tulisema tulipotoa mpango wa utekelezaji wa nishati mwaka jana mwezi Julai ni kwamba moja ya mipango tunayoenda kuanza ni kupata nishati ya ziada kutoka kwa majirani zetu. [..] Tulikuwa tumenunua megawati 300 na sasa tulikuwa tunaenda kuongeza kiwango hicho hadi juu kidogo.

Nimekuwa nikizungumza na viongozi katika nchi mbalimbali, wanasema tuna ziada kidogo na tunaweza kukuuzia,ā€ amesema Ramaphosa.
59%

Aidha, Rais Ramaphosa ameongeza kuwa ana imani kwamba mzozo wa nishati nchini Afrika Kusini hautazuia uwekezaji nchini humo.
Mkutano huo umeeleza azma ya Tanzania na Afrika Kusini katika kuimarisha uhusiano uliopo wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi hizo mbili pamoja na Tume ya Pamoja (BNC).

Swahili time.
 
Back
Top Bottom