Tanzania kucheza na Chad Kombe la Dunia 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania kucheza na Chad Kombe la Dunia 2014

Discussion in 'Sports' started by Limbani, Jul 30, 2011.

 1. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tanzania itaanza na Chad kwenye michuano ya awali ya Kombe la Afrika 2014 na kama itashinda itakuwa kundi C pamoja na Ivory Coast, Morocco na Gambia.
  Group A: South Africa, Botswana, Central African Republic, Somalia or Ethiopia
  Group B: Tunisia, Cape Verde Islands, Sierra Leone, Equatorial Guinea or Madagascar
  Group C: Cote d'Ivoire, Morocco, Gambia, Chad or Tanzania
  Group D: Ghana, Zambia, Sudan, Lesotho or Burundi
  Group E: Burkina Faso, Gabon, Niger, Sao Tome e Principe or Congo
  Group F: Nigeria, Malawi, Seychelles or Kenya, Djibouti or Namibia
  Group G: Egypt, Guinea, Zimbabwe, Comoros or Mozambique
  Group H: Algeria, Mali, Benin, Eritrea or Rwanda
  Group I: Cameroon, Libya, Guinea-Bissau or Togo, Swaziland or Congo DR
  Group J: Senegal, Uganda, Angola, Mauritius or Liberia
   
 2. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tujipe matumaini, au tuhesabu maumivu? Hope tutavuka hiyo ngwe ya kwanza.
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwa hawa jamaa wa Chad tukikomaa tunapita..
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwenye kundi C timu ngumu ni Ivory Coast, hawa Morocco na Gambia wanaweza fungika
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Jamaa wametumia vigezo gani kupanga timu tatu za kwanza halafu ya nne timu mbili zigombanie?
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Ndugu yangu kichwa cha habari cha topic yako kinapaswa kuwa: TANZANIA YATUPWA NJE KOMBE LA DUNIA KABLA YA MECHI!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jul 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Usikate tamaa mapema.....
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Wameangalia "ranks" za timu kwenye chati ya dunia, timu 24 za mwisho Afrika, Tanzania ikiwemo zinacheza mechi za awali za mtoano (Tanzania vs Chad) na anaeshinda ndio anaingia kwenye makundi
   
 9. CPU

  CPU JF Gold Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na timu zinafuzu kivipi kwenda kombe la dunia? Maana tuna nafasi 5 tu
   
 10. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kila group anatoka mshindi wa kwanza hivyo jumla kutakuwa na timu 10. Zitacheza raundi ya 3 timu mbili mbili yaani mshindi A na mshindi B (home and away) anayeshinda anaenda Brazil 2014.

  Third round (Oct 11-15, Nov 15-19 2013)
  A draw will split 10 group winners into five two-leg ties and aggregate
  winners qualify for 2014 World Cup in Brazil
   
 11. CPU

  CPU JF Gold Member

  #11
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Thanx, ila sidhani kama hapo kwenye red itakuwa hivyo. Nadhani utaratibu bado utaratibu wa kupambanisha group leaders bado haujawa wazi.
  Kwa maana hiyo, let me choose group winners by guess
  Group A: South Africa
  Group B: Tunisia
  Group C: Cote D'Ivore
  Group D: Ghana
  Group E: Gabon
  Group F: Nigeria
  Group G: Egypt (Mmmmh Guinea naona wataiduwaza Egypt)
  Group H: Mali (Sidhani kwa kiwango cha sasa Algeria watafurukuta)
  Group I: Cameroun (Mmmmmh, hawa nao wamekuwa mbuzi siku hizi, wanashinda kwa mbeleko)
  Group J: Senegal (Kama wakikaza msuli)
   
 12. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ofcourse nilikuwa natolea mfano, lakini timu 10 zikiishaingia raundi ya 3 watafanya tena draw randomly!! Kwa nini Group C usiweke Tanzania?
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Jul 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu
  Ukiangalia historia ya Qualifying games ya Ivory Coast utaelewa namaanisha nini. Hawa tembo hawanaga masihara hata kidogo kwenye kufuzu, huwa wanafuzu hata kabla ya mechi kuisha, labda itokee miujiza tu huko mbeleni ndo unaweza kui-consider Tanzania.
  Lakin sioni hata kidogo nafasi ya kuifikiria Tanzania . . .
   
 14. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2014
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,920
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Jamal Malinzi wa TFF anataka kubadilisha jina la timuya taifa kabla hatujaenda World Cup 2018
   
Loading...