GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Ombi langu kwa Wasumbuaji wa Uraia wa Watanzania
Naomba Siku zingine muwasumbue pia na Watanzania watokao Mikoa ya Mara, Arusha, Kilimanjaro, Rukwa, Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara na msiwe mnang'ang'ania tu kwa Watanzania watokao Mikoa hii Miwili ya Watani zangu Wakubwa ya Kigoma na Kagera.
Na bahati mbaya Kwenu ( Watumwaji ) ni kwamba hata huyo anayewatumeni nae Kiasili na kwa 100% siyo Mtanzania kama ilivyokuwa kwa Namba Moja wake na Namba Tatu wake ambao Makabila yao yote Mawili yapo nje ya Mipaka yetu hii ya Tanzania na tunashangaa mnavyohangaika tu Kusumbuka na hawa wengine. au ni kwakuwa Mikoa yao haijatoa Kiongozi Mkuu wa Kikatiba nchi hii?
Inakera na tumechoka sasa.