Tanzania-Kenya Relations will remain uneasy forever

Yusuf Kashaju

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
56
Reaction score
89
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana.

Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.

Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje💝
 
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.

Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.
 
Thanks kwa ukweli huu...Kenya na TZ haziwezi kuelewana hata siku moja
 
Kenya ni manyang'au walioungana na mabeberu, yamehodhi ardhi nzuri na njia kuu za uchumi na kusababisha vijana toka familia za kimaskini wakawe watumwa nje, wametukejeli sana tangu enzi za mwalimu na ushirikiano wowote wanaoutafuta na Tanzania ni ule wa kinafiki ili wapate soko la bidhaa zao. Kenya hawana urafiki na ngozi nyeusi wenzao bali wapo kulinda na kutetea maslahi ya mabeberu, ndo maana utaona waliunga mkono serikali ya makaburu dhidi ya wazawa. Hao ndo kenya bhana kama ulikuwa huwajui.....a.k.a kunya land.
 
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje
Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
 
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words,

It is an easy relation for mutual benefits, it is competitions without quarrel, the competitions which forster mutual benefits etc, contrary to that it is an insanity which could lead to unnecessary enmity.--- we are the one people, in one African, in one East african. let's compete one another for the good without quarrel, and let one onothet be a yard stick for development of another.

That is a good spirit of "envy" and not otherwise.
 
This is one of the message of the day. It is a bitter truth. There will be no a strong relationship, never, we Ke and TZ are the reason for the break of EA.

The analysis shows that Kenya wants us more than we do. The main reason being that we supply items that have direct impact to basic needs. Things like agricultural produce.
 
It is an easy relation for mutual benefits, it is competitions without quarrel, the competitions which forster mutual benefits etc, contrary to that it is an insanity which could lead to unnecessary enmity.--- we are the one people, in one African, in one East african. let's compete one another for the good without quarrel, and let one onothet be a yard stick for development of another.

That is a good spirit of "envy" and not otherwise.
The reason that we all compete, we are not one anymore.
 
Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.
Issue hapa ni ukweli wa uchambuzi kuwa upande mmoja unategemea uzembe au kutojua kwa upande wa pili ili uweze kusonga mbele, sasa taifa gani liko tayari kuendelea kufanywa ngazi ya kupandia mwingine!
 
Tanzania -Kenya relations will remains uneasy forever, please markmy words, na ndiyo hali halisi ilivyo na historia duniani ilivyo kwa dunia nzima kwa mataifa yanayshindana. Nenda America ya Kusini ni ushindani na uhasama kati ya Brazil na Argentina, nenda Asia ni ushindani na uhasama kati ya China na Japan na pia kati ya India na Pakistani. Nenda bara la Ulaya ni ushindani na uhasama kati ya Uingereza na Ujerumani, na kati ya Russia na USA.
Hivyo Tanzania ni vema tujiandae mapemaaa tukijisahau tunapigwa la kisigino, haya ndiyo maisha kwa mataifa yanayokabiliana na kushindani katika maendeleo, hiyo ni ligi haiwezi kuisha haha tufanyeje💝
Kuna tena cha kujiandaa mkuu, mbona hii ni 'natural phenomenon' isiyoweza kuzuiwa na yeyote.

Ukisikia kelel nyingi sana siku hizi ujue kuna maumivu sehemu fulani.

Siku hizi haipiti wiki bila kusikia malalamiko kuhusu Tanzania hili, au Tanzania lile, hii yote ni kutambuwa hawana njia ya kuizuia Tanzania kuchukua nafasi yake toka kwa waliojidai ndio wenyewe vinara wa eneo hili.

Wenyewe wamekwishaiona picha halisi na kuitambua. Kilichosalia ni kujitahidi kuchelewesha, au kudandia ili wimbi liwanyanyue na wao wakati Tanzania ikinyanyuka. Lakini kamwe hawana uwezo wa kuzuia.

Ninakubaliana nawe moja kwa moja "Tanzania - Kenya relations will remain uneasy forever." That's a fact.

But there is no doubt who is going to be on top of the other.
 
It is an easy relation for mutual benefits, it is competitions without quarrel, the competitions which forster mutual benefits etc, contrary to that it is an insanity which could lead to unnecessary enmity.--- we are the one people, in one African, in one East african. let's compete one another for the good without quarrel, and let one onothet be a yard stick for development of another.

That is a good spirit of "envy" and not otherwise.
You go and tell that to the birds, you still won't be believed!

I believe you meant "It is an uneasy relationship..." Where did you see "mutual benefits", or are these in your dreams?
 
Hata mie naomba kusisitiza kuwa utengamano hautakuja patikana forever. Guys mark my words
 
Hivi kumbe Russia na USA ni majirani? Hilo nilikuwa sijajua
Hili ndilo tatizo kubwa tulilo nalo baadhi ya Watanzania - kubeza beza tu masaa yote!! Mfano: Ni wap i mleta mada amesema kwamba US A na Russia ni majirani - alikuwa a nazungumzia rivally kati ya Ma t a i f a h a y o mawili.

Mbona mleta mada kajieleza vizuri tu kuhusu undumila kuwili wa majirani zetu wa Kenya - hata siku moja hawawezi kututakia mema ha sa katika nyanja za Taifa letu kuinu ka kiuchumi,wanataka Tanzania iw e soko kubwa la bidhaa zao, hawat aki wawekezaji wa Kitanzania kwe nda kuwekeza Kenya, mlimsikia Rostam AzIz alivyo lalamika mbele ya Rais Uhuru Kenyatta,kwamba alinyimwa kibali cha kuwekeza kwenye usindikija wa GESI nchini Kenya!!
 
You go and tell that to the birds, you still won't be believed!

I believe you meant "It is an uneasy relationship..." Where did you see "mutual benefits", or are these in your dreams?
Look, a commentator is obviously a die hard Kenyan.
 
Sisi hatujawahi kijilinganisha na wakenya, ila wao wanapenda kutuchukulia sisi kama benchmark kwenye kila kitu. Hapo ndipo shida inapoanzia.
 
Kwanza tunaomba kuifahamu nafasi,mchango wako katika kuchochea hali hiyo,kwani inaonekana unapenda hali hiyo iwekama yalivyomatamanio yako.
Dogo, alichokisema mtoa uzi is naturally happening due to the theory of nature of the survival of the fittest!
 
Back
Top Bottom