Tanzania is now East Africa's Most Attractive Investment Destination

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
The latest Africa Investment Index ranks Tanzania as the most attractive investment destination in East Africa.
The report which was released in April by London based Quantum Global in April, places Tanzania as the 8th most attractive investment destination in Africa while Uganda comes in a 12th and Kenya 15th.
Tanzania capturing investors attention. In 2015, Tanzania ranked the 19th most attractive investment destination in Africa, following a drop from 20th place to 25th in 2014.
The latest report see Tanzania leapfrog Kenya, which drops one place down to 15th, based on data until 2016.
sources: The East Africa Monitor
 
Naona kimataifa serikali ya awamu ya tano inakata mbuga.

Juzi tulikuwa na Rais wa benki ya dunia.

Jana tulikuwa na Naibu Mkurugenzi wa IMF.

Hii inakueleza zaidi kuhusu uchumi wa Tanzania kama unafahamu vizuri masuala ya kiuchumi.

As a nation, safari yetu kiuchumi ni njema sana.

Rais Magufuli anachofanya kwa sasa ni kuondoa kile wachumi wanasema 'fake economy and false economy.
 
Maana ya Tanzania kuwa katika nafasi ni vita dhidi ya ufisadi unaoendeshwa na serikali ya awamu ya tano. Wazungu wanachukia corruption kuliko ukimwi. Mheshimiwa Rais Magufuli akifanya ziara ya nje tutegemee misaada na uwekezaji mkubwa nchini
Mabadiliko yote za kiuchumi huwa zinakuja na maumivu yake tuwe na subira kwani 2015 watanzania walilia mabadiliko na hii ndio mabadiliko halisi.
 
Juzi tulikuwa na Rais wa benki ya dunia.

Jana tulikuwa na Naibu Mkurugenzi wa IMF.

Hii inakueleza zaidi kuhusu uchumi wa Tanzania kama unafahamu vizuri masuala ya kiuchumi.

As a nation, safari yetu kiuchumi ni njema sana.

Rais Magufuli anachofanya kwa sasa ni kuondoa kile wachumi wanasema 'fake economy'.
Na hizo WB na IMF ndizo tunaambiwa zinatuibia pesa zetu...
 
Na hizo WB na IMF ndizo tunaambiwa zinatuibia pesa zetu...
Benki zipo kwa ajili ya kufanya biashara (profit maximisation)

Hata bank yoyote nchini inaweza kukuibia pesa kama mkopo watakaokupa utaukubali bila ya kufanya uchunguzi vizuri.

Tatizo sio WB or IMF, tatizo ni viongozi wanaoingia mkataba wa kupewa mkopo kwa niaba ya taifa.
 
Juzi tulikuwa na Rais wa benki ya dunia.

Jana tulikuwa na Naibu Mkurugenzi wa IMF.

Hii inakueleza zaidi kuhusu uchumi wa Tanzania kama unafahamu vizuri masuala ya kiuchumi.

As a nation, safari yetu kiuchumi ni njema sana.

Rais Magufuli anachofanya kwa sasa ni kuondoa kile wachumi wanasema 'fake economy and false economy.

Uchumi wa Marekani ulipotetereka ile 2008/2009 ulianzia hapohapo Washington walipo hao WB na IMF, hawahitaji hata gari kuyafikia mabenki yaliyokuwa yakianguka, sikwambii wewe unaetembelewa onnce in decades kwa safari ya masaa 24. Hujawajua hao jamaa. Ni kama Fisi walivyo, ukiwa unaenda mkenge ndio wanakusifu ili uzame then wajifanye kuja na agenda yao ya "bail-out". Watakukopesha mapesa kwa lazima. Usicheze na hao watu, wako kibiashara zaidi.
 
Makampuni makubwa sana duniani ya nchi za magharibi hasa ulaya magharibi hayataki kujihusisha na rushwa,ukiondoa rushwsawatakuja kama nzige.Ndio siri ya mafanikio
 
Usanii mtupu? nchi ambayo kwa mazingira ya urahisi wa kufanya biashara ni ya 4 EA inawezaje kuvutia wawekezaji? Nenda Kenya muone Viwanda vya Magari vinavyo jengwa huko.
 
Naona kimataifa serikali ya awamu ya tano inakata mbuga.
Kwa mazingira na urahisi wa kufanya biashara Tanzania ni ya 4 kwa nchi za Africa mashariki. So ni wenda wazimu.pekee ndo wanao weza kuja kuwekeza.

Wewe jiulize ni kwa nini Wafanya biashara wa Tanzania huenda kununua Nguo Uganda nchi isiyo kuwa na Bandali?
 
Uchumi wa Marekani ulipotetereka ile 2008/2009 ulianzia hapohapo Washington walipo hao WB na IMF, hawahitaji hata gari kuyafikia mabenki yaliyokuwa yakianguka, sikwambii wewe unaetembelewa onnce in decades kwa safari ya masaa 24. Hujawajua hao jamaa. Ni kama Fisi walivyo, ukiwa unaenda mkenge ndio wanakusifu ili uzame then wajifanye kuja na agenda yao ya "bail-out". Watakukopesha mapesa kwa lazima. Usicheze na hao watu, wako kibiashara zaidi.
Hizo ni sifa za wafanyabiashara au taasisi za kibiashara kumfuata mteja wanaofahamu watafanya biashara na kupata faida.

Kama uliwahi kuishi katika nchi zilizoendelea na ukawa na personal credit rating nzuri utashangaa kuona kila siku unapata offer za mikopo kutoka mabenki mbalimbali kwa kupigiwa simu au kutumiwa barua kila mara.

Kilicho cha muhimu ni kujitambua na kuwatambua.

Tatizo la kiuchumi Marekani lilikuwa ni mabenki kutoa mikopo kwa wananchi ambao walikuwa hawana uwezo wa kulipa na sio mabenki kutoa mkopo kwa serikali ya Marekani.

Serikali ya Marekani ilibidi ifanye kitu kinachoitwa 'bank rescue package' ili kuyawezesha tena mabenki kujiendesha.
 
Ahaa, kumbe partly tunaongea lugha moja sio. Sasa hao jamaa kinachowafanya waje kujipendekeza hapo ni kutokana na malundo ya hisa waliyo nayo kwenye makampuni ya madini. Hawana namna zaidi ya kujipendekeza ila wanajua kabisa hatua ya kwanza ya ujenzi wa uchumi imara sio kodi bali uzalishaji. Kitu ambacho mshkaji wako JPM kasahau.
 
Sifa Za kijinga Hizo Kusifiwa Tuna Mibichwa Mikubwa wakati Kichwani Zero Brain
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Juzi tulikuwa na Rais wa benki ya dunia.

Jana tulikuwa na Naibu Mkurugenzi wa IMF.

Hii inakueleza zaidi kuhusu uchumi wa Tanzania kama unafahamu vizuri masuala ya kiuchumi.

As a nation, safari yetu kiuchumi ni njema sana.

Rais Magufuli anachofanya kwa sasa ni kuondoa kile wachumi wanasema 'fake economy and false economy.

"Fake economy" was getting out of control, na kwa hilo anastahili pongezi Magufuli. Ila investor confidence kwa Tanzania bado ipo very low. World Bank Economic Update on Tanzania ya mwaka huu imebainisha hilo.
 
The latest Africa Investment Index ranks Tanzania as the most attractive investment destination in East Africa.
The report which was released in April by London based Quantum Global in April, places Tanzania as the 8th most attractive investment destination in Africa while Uganda comes in a 12th and Kenya 15th.
Tanzania capturing investors attention. In 2015, Tanzania ranked the 19th most attractive investment destination in Africa, following a drop from 20th place to 25th in 2014.
The latest report see Tanzania leapfrog Kenya, which drops one place down to 15th, based on data until 2016.
sources: The East Africa Monitor
What if kama umepika hii hadithi, tukawa tunajitekenya na kucheka wenyewe mana ni rahisi tu kutunga hadithi na kuandika chanzo flani.

Naomba njia wezeshi (Link) ya kusoma hii taarifa kamili isije kua umejitungia tu hadithi na chanzo chake, hata kama hujatunga itatusaidia wengi kujua taarifa kamili.

Emergency inaweza kua Emerge and see.
 
Nawaona Lumumba wana-hallucinate kutengeneza vigezo wenyewe bila kwanza kusoma methodology inayotumiwa na hao Quantum! Mara oh, Rais wa World Bank alikuja Tanzania... what a nonsense!! Mara oh, JPM anapambana na ufisadi!!

Mnapoleta info kama hizo mnatakiwa kwanza kusoma methodology inayotumika na taasisi inayotoa hizo ripoti na sio kutengeneza za kwenu!!!!

Ukisoma methodology inayotumika, naona ni factor moja tu ndio ipo sawa kuifanya Tanzania iwe hapo ilipo!!!

Wenyewe wanaandika:
The AII is a multinational barometer based on six clusters of factors, namely Growth factors, Liquidity factors, Risk Factors, Business environment factors, Demographic, and Social Capital factors.

Sina tatizo kwenye growth factors kwa sababu, kwa miaka mingi sasa linapokuja suala la growth factor mshindani wetu ni Rwanda pekee!!!

Ukija kwenye Liquidity factors, this's piece of joke! Na kama tupo vizuri in terms of liquidity basi huko kwingine hali ndo itakuwa mbaya maradufu na ndio maana tumeonekana hicho kigezo tunafanya vizuri!!

Hao Quantum wakielezea Liquidity factors wanasema:
Liquidity factors pertain to the level of domestic real interest rates, and excess money supply as measured by M2 growth over GDP growth. A high domestic interest rte, usually due to high inflation, makes real sector investments unattractive compared to investments in treasury bills.
Kwa wasiofahamu, in a layman language, M2 money supply ni money inayojumuisha cash na checking deposits (M1) pamoja na saving deposits, Time Deposits, Money Market Securities na Mutual Funds... collectively known as near moneys.

Sasa kama tunafanya vizuri kwenye hivyo vigezo, sasa huko wanakoonekana hawafanyi vizuri sijui wapo katika hali gani!! Kila mwenye akili timamu anafahamu mzunguko wa fedha nchini umeathirika sana!!!

Hizo cash and checking deposits sijui zimepanda lini wakati kila siku biashara zinafungwa!! Hizo Savings & Time Deposits sijui zimekuwa lini wakati deposits za mabenki zinazidi kukumbwa na misuko suko kila uchao!!! Hizo money security markets zilizopiga hatua sijui zipo mji gani Tanzania hii manake kwa Dar es salaam hazipo!!!!

Tukija huko kwenye Risk Factors, hao Quantum wanasema:
Risk factors include aspects such as the credit rating standing of the country, risk of currency depreciation, as measured by inflation differentials, import-cover ratio, current account and external debt levels.
Kama kwenye hivyo vigezo tunaizidi Kenya, basi waache kuipotosha dunia kwa kusema Kenya ndo largest East African economy!!! Eti external debt level...

Kwavile Business Environment factors inazingatia takwimu za Doing Business zinazotengenezwa na WB basi inawezekana kweli kwenye eneo hilo tume-improve baada ya ujinga ujinga wa watumishi wa umma kupungua na hivi sasa kuwa even more responsible ukilinganisha na miaka ya nyuma!!

Hapo kwenye Social Capita Factors katu sitathubutu kutia neno manake wenyewe Quantum wameshasema:
Social capital factor, which accounts for the level of netwroks, knowledge and connections in the target country!The Facebook penetration rate is used as a proxy for social capital factor.
Manina, ole wao miaka ijayo wawe wanatumia Instagram penetration!!!

Kiswahili kinatulinda, wallah tena... manake wangefahamu tunayofanya huko Facebook!!!!!
 
Back
Top Bottom