Kama bado upo Dar na nakumbuka tuliwahi kukutana then tunaweza kuwasiliana via email nami nikakuunganisha na mtu wa ndani Zantel akakupa device flani hivi ukaunganisha kwenye Router yako ili kuweza kuunganisha pc zaidi ya 1 (hata 12 inafanya kazi).
Aidha, hapa kwangu nina Wireless na nimejaribu 30m from home bado inakuwa detected. Device ni nzuri na inafanya kazi, wao hawajaitangaza nami walinipa ili niijaribu na kuwapa feedback. Inafanya kazi vizuri sana. Hutakuwa na haja ya kufunga nyaya kibao kwenye cafe yako, sanasana ni kufanya wireless connection ofisini kwako na ndani ya 3hrs service inakuwa ishaanza.
Gharama wameshusha... I have to contact them ili nikwambie bei ikoje kwa 20GB, that's my package na haifiki hata Tshs 450,000/=
Uzuri wa device ile ni kuwa hata hizi modem za VodaCom na SimbaNet inafanya kazi nazo...
Ahsante mkuu
Jamani naona Voda wana huduma mpya Internet BOMBA! 60,000 Unlimited for 30 days! 162,000 Unlimited for 90 Days.
Kuna mtu anajua kama hii ni unlimited kweli? au at least hiyo limit ni kiasi gani?
http://issamichuzi.blogspot.com/2009/07/mambo-ya-internet-bomba-ni-mswano-tu.html
Hii imeandikwa leo na Mike Mushi (eThinkTankTz newsgroup).
Hello Guys,
SimbaNET was connected to SEACOM few 2 hours ago.
Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia Bi Maua Daftari alikuwepo kushudia uzinduzi huo.
SimbaNET imekuwa Kampuni Binafsi ya kwanza Tanzania kujiunga na Mkongo.
Mkuu umesema ukweli, Nimetumia Africa online, Cats net na wengine lakini bado wana matatizo yao, Ila TTCL ndio kiboko yao maana unaweza kujiuliza kuwa hawa jamaa huduma zao zipo vipiNitainunua this week, tuonane basi mkuu mbona kimya sana wewe?
Halafu kama ni $42 kwa 2GB basi hao ndio watakuwa Cheapest ISP in Tanzania kwa sasa mkuu....
Karibu mkuu,Nimewasiliana na Customer Care VodaCom Tanzania kuhusu gharama za USB Modem internet na wameniambia ni TSh 259.60/MB (non-package rate)!
Nimetembelea mitandao mingine kama Zantel, Zain na TTCL gharama zao ni relatively low! Kwa mfano package za Zantel sio zaidi ya TSh 28/MB ukilinganisha na bundle rate ya TSh 180/MB (highest rate) kwa upande wa VodaCom na lowest rate ni TSh 90/MB. Kwa upande wa Zain, TSh 250/MB (non-package rate)! TTCL Mobile (non-package) ni TSh 160/MB wakati TTCL Broadband ni TSh 75/MB (The CHEAPEST, I think)!
Nitainunua this week, tuonane basi mkuu mbona kimya sana wewe?
Halafu kama ni $42 kwa 2GB basi hao ndio watakuwa Cheapest ISP in Tanzania kwa sasa mkuu....
Kaka umerudi Tz lini?nASHUKURU MKUU KWA KUNIPA ELIMU NZURI SASA MIMI NITUMIE IPI?????? MIMI MLALAHOI NAISHI WILAYA YA TEMEKE