Tanzania inflation dips to 9.1 pct y/y in May

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878

Source: Reuters
 
That's fine and all, but what about other economic indicators? Was this the whole story or was it cut?
 
Real?Mbona sukari and other commodities like Sphaggetti are going up.Kiini macho au?
 
Nijiungeje kwenye sekta ya mambo ta kikibwa na nini maana ya PM
 
Hii article haina ukweli wowote. Kila kitu kinapanda bei mara mbili, tatu au hata zaidi. Halafu wanadai inflation imeshuka kwa 9%!!!! Labda kwa hesabu za kitaahira, lakini vinginevyo haiingii akilini kila kitu kimepanda bei lakini inflation imeshuka.
 
usafiri umepanda bei, umeme umepanda bei, vyakula vya kila siku miongoni mwa Watanzania walio wengi kama vile maharage, nyama, unga, mchele, sukari n.k. bei ya petroli, mafuta ya taa na mahitaji mengine muhimu vyote vimeongezeka au kuna kilichopungua bei au bei yake kubaki pale pale pamoja na ongezeko kubwa la bei ya mafuta katika soko la dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…