Tanzania inayotaka kujitegemea kiuchumi sasa inarudi zama za kutembeza bakuli ughaibuni

Tatizo la wenzetu wanafikiri tunampotosha,sisi lengo letu asitumbukie kwenye mtego,wao wanampamba ili aangamie kwa kujiona yupo sawa
 
Hayo ndiyo matatizo yenu sukuma gang kutotumia akili.

Hamsumbui akili kujua muandishi ana fikiria nini au nia yake ni ipi.

Pole sana bakia kwenye box la ujinga mlioachiwa kama urithi na jiwe.
Hamna cha kusumbua akili wala nini ni vitu vinaonekana kabisa tena siku hizi Chadema ndo imekuwa promo ya mama
 
 
Wanufaika wa mwendazake watapata tabu Sana
Wanufaika ni sote nchi ikifanikiwa na ikiharibikiwa tunaharibikiwa sote ,hapa ni kumsaidia kiongozi wetu asipotee tukakwama kwa misifa fake mnayompa
 
Samia ni Rais wa Tanzania sio Rais wa CCM, so kama anarekebisha mabaya anasifiwa na kama atafanya mabaya pia atakosolewa, kila mtanzania ana uhuru wa kufanya hayo hata asipokuwa na nchama.
Sasa Chadema wakiwa wanakosoa kila kitu si ndio mnawaambia wnapinga kila kitu hawana jema? wakisifia tena inakuwa ni nongwa?
 
Mbona kwa hayati hamjawahi kusifia na kutia moyo? Mpaka mkathubutu kufungua kesi kwenye mahakama za kimataifa, kushawishi wadai kwa serikali kukamata ndege, kuzuia misaada, kusitisha mahusiano na Tanzania nk.

Mbona hamjatangaza kwamba serikali imeshindwa kesi juzi na mdai wake mkulima aliyefungua kesi mwaka 2001 na 2006 na kuhukumiwa tarehe 4 Mei 2021? Mbona hajatangaza kwamba kuna mdai alitaka kukamata ndege 3 za Tanzania ambazo zinasubiri kuletwa.

Mnachokifanya kwa sasa ni kwa maslahi yenu sio Tanzania na muda ni mwalimu mzuri asiyerejeshwa nyuma.
 
Umejivika uwakili usiouweza kuubeba hadi mwisho wa safari
 
Baba yenu kawaacha yatima sasa mtakufa njaa
 
Hiyo kazi ya kunipangia kakupa nani mamlaka hiyo?
 
Tatizo la wenzetu wanafikiri tunampotosha,sisi lengo letu asitumbukie kwenye mtego,wao wanampamba ili aangamie kwa kujiona yupo sawa
Rais yupo sawa sana.
Kurejesha mahusiano na majirani ulioharibiwa na jiwe huo ni ushujaa.

Tunajua mnasononeka sana kuona mama kawageuka kwa kuanza kusahihisha mapungufu ya jiwe.

Poleni sana mataga maana sasa hivi hamna pa kushika wala kuficha sura zenu mmebakia kama konokono kuficha kichwa kwenye sanduku.
 
Baba yenu kawaacha yatima sasa mtakufa njaa
Subiri uone tunavyokufa njaa...Pole wee!
CCM ni ile ile ukaeukijua hilo...Usupokubali ndiyo utajua hujui...Haikuwahi kumilikiwa wala kushindwa kuendeleza mandate ya nchi hii...Ile ni institution individuals are coming and going...Shukrani kubwa kwa akili kubwa ya Hayati baba wa Taifa Mwl Nyerere, Mungu ampe pumziko la kweli...Katika institutions alizozijenga zikajengeka ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…