Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Waanze kuchanja hao wanakamati.Ili waendelee kuwa na afya ya kuishauri serikali. halafu wafuatiwe na mawaziri(wanasiasa).Tanzania inatarajia kuanza kupokea shehena ya kwanza ya chanjo ya korona mwanzoni mwa mwezi Disemba mwaka huu iwapo mipango itakwenda kama ilivyopangwa...
Chomwa salama...Mashabiki wa mwendazake, mzee hamnazo watapinga baada ya kumeza ARV za mzungu, sindano za polio za mzungu na watachati kwa techno ya mzungu.
.hamnazo aliwaondoa ubongo wafuasi.
Mimi nitachomwa.
Ujalazimishwa we mfuasi wa dikteta kichaaaUganda walipojidunga chanjo, kitu kikalipuka, Malawi wamechoma moto chanjo zote za covid walizopewa msaada baada ya kugundua ni feki, Sasa sisi na huu utaalamu wa ndio mzee, ni neema ya Mungu inahitajika.