utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Haipingiki tena na wala sio siri tena. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi huku mtandao wa miundombinu bora ya uchumi pia ikiboreshwa kwa kasi...fly overs/madaraja ya juu, treni za mwendokasi za umeme, mabasi ya mwendo kasi, vivuko vya majini na mengine mengi yasiyo na idadi kama vile mtandao wa barabara za lami nchi nzima. Hivi ndio vichocheo vikuu vya uchumi wa viwanda.get prepared Tanzania ya viwanda hiyoooo kwenye kona