Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,028
- 144,382
ndo mana wamehamakwa maana nyingine ni kejeli kwa Lowasa, Sumaye, Kingunge And Et Al. kwa maana hao pia wamehudumu ccm mda mrefu tena nyadifa kubwa ndani ya serikali na chama pia. gafla leo wamegeuka malaika kisa wapo upinzani! unapoikejeli ccm usiwasahau hao mliowachukua 2015 kutoka ccm
Unakumbuka hii kauli:Fikra za kukumbatia na kuwaamini mafisadi kamwe haziwezi kujenga nchi.
Alafu wao wanapeana matumaini eti nidhamu imerudi!!!Sijui huo utafiti waliufanyia wapi mpaka wakaja na hii conclusion kuwa nidhamu imerudi.Nidhamu bila morali ya kazi wapi na wapi?!Ndio kilichotokea kwenye sera ya Elimu bure kwa shule za msingi na sekondari...
Kiukweli sera hii serikali wameibeba kutoka upinzani na nakumbuka sera hii ilianzia CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2010. Na ndio mana wakati wa kampeni za 2015 zilipoanza CCM, aliyekuwa akiitamka sera ya Elimu bure alikuwa ni JPM mwenyewe, wengine walikuwa hawaisemi maana sina uhakika sana kama ilikuwa kwenye manifesto yao na pia walikuwa hawana uhakika kama wataitimiza.
As a result hii sera ya Elimu bure kwenye kuitekeleza hivi sasa inawapa shida sana. Changamoto kila siku haziishi. Na kiukweli SIIONI hii sera kwa upande wangu ikileta positive results rather italeta matokeo ambayo ni very negative.
Elimu bure ni kama imefeli na inakwenda kufeli kwa kukupa mfano mmoja tu. Madai ya walimu kwa serikali ni mengi, ni makubwa na ya siku nyingi. Kwaiyo sera elimu bure ipo pale lakini walimu wakiwa very down ( hawana morali ya kazi) kwenye ufundishaji kutokana na malimbikizo ya Madai yao ya miaka na miaka.
Ni mara Mia serikali ingekaa chini na walimu kwanza kusettle Madai yao ili kurudisha ile morali yao ya kufundisha kwanza. Sasa walimu wanajua kabisa kwenye elimu bure serikali inaingia gharama kubwa, wanaona kabisa Madai yao yamedharauliwa na serikali imejiingiza kwenye gharama mpya ya Elimu bure.
Ndio shida ya kuparamia sera za watu ( wapinzani) bila kujipanga.
Chama chake CCM ndio kina majizi yote ndio hao anaowalinda Mkuu.Unakumbuka hii kauli:
"NIitawalinda..."
Jiuliza wanalindwa kwa lipi hasa?
Hao wanaolindwa wako chama gani?
Hakuna cha nidhamu imerudi wala nini...Alafu wao wanapeana matumaini eti nidhamu imerudi!!!Sijui huo utafiti waliufanyia wapi mpaka wakaja na hii conclusion kuwa nidhamu imerudi.Nidhamu bila morali ya kazi wapi na wapi?!
Ahsante sana nitaongezea kidogo hii elimu bure sijui aina fungu la ujenzi japo ukirejea maelezo ya chawene alisema asilimia 15 ya pesa inayotolewa ni kwa ajili ya ukarabati na vitu kama hivyo (kama sijakosea) sasa kali ya mwaka ni uku niliko wazazi wa wanafunza shule moja ya msingi wameambiwa kuchangia mifuko miwili ya saruji, ni lazima si hiari.Ndio kilichotokea kwenye sera ya Elimu bure kwa shule za msingi na sekondari...
Kiukweli sera hii serikali wameibeba kutoka upinzani na nakumbuka sera hii ilianzia CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2010. Na ndio mana wakati wa kampeni za 2015 zilipoanza CCM, aliyekuwa akiitamka sera ya Elimu bure alikuwa ni JPM mwenyewe, wengine walikuwa hawaisemi maana sina uhakika sana kama ilikuwa kwenye manifesto yao na pia walikuwa hawana uhakika kama wataitimiza.
As a result hii sera ya Elimu bure kwenye kuitekeleza hivi sasa inawapa shida sana. Changamoto kila siku haziishi. Na kiukweli SIIONI hii sera kwa upande wangu ikileta positive results rather italeta matokeo ambayo ni very negative.
Elimu bure ni kama imefeli na inakwenda kufeli kwa kukupa mfano mmoja tu. Madai ya walimu kwa serikali ni mengi, ni makubwa na ya siku nyingi. Kwaiyo sera elimu bure ipo pale lakini walimu wakiwa very down ( hawana morali ya kazi) kwenye ufundishaji kutokana na malimbikizo ya Madai yao ya miaka na miaka.
Ni mara Mia serikali ingekaa chini na walimu kwanza kusettle Madai yao ili kurudisha ile morali yao ya kufundisha kwanza. Sasa walimu wanajua kabisa kwenye elimu bure serikali inaingia gharama kubwa, wanaona kabisa Madai yao yamedharauliwa na serikali imejiingiza kwenye gharama mpya ya Elimu bure.
Ndio shida ya kuparamia sera za watu ( wapinzani) bila kujipanga.
nakumbuka mkulu wakati anaomba kura alisema naposema biure namaanisha bure ila sasa hivi cjui km anaweza irudia hii kauli kwakweliAhsante sana nitaongezea kidogo hii elimu bure sijui elfu ya saruji.
Mungu okoa taifa lako.
Inahuzunisha sana Mkuu..Ahsante sana nitaongezea kidogo hii elimu bure sijui aina fungu la ujenzi japo ukirejea maelezo ya chawene alisema asilimia 15 ya pesa inayotolewa ni kwa ajili ya ukarabati na vitu kama hivyo (kama sijakosea) sasa kali ya mwaka ni uku niliko wazazi wa wanafunza shule moja ya msingi wameambiwa kuchangia mifuko miwili ya saruji, ni lazima si hiari.
Sasa jiulize kula ya mwananch huyo tu ni tabu iweje apate 40 elfu ya saruji.
Mungu okoa taifa lako.