Tanzania inajengwa na fikra na mawazo ya wapinzani lakini inabomolewa na fikra na mawazo ya wana-CCM

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
36,407
Points
2,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
36,407 2,000
Huu ndio ukweli japo ni mchungu kwa baadhi ya watu.

Mawazo mazuri ya namna ya kujenga nchii hii hutolewa na wapinzani kupitia vikao mbalimbali vya Bungeni,kupitia mitandao ya kijamii,vyombo vya habari,mikutano ya kisiasa,n.k..

Kwa mfano,kunapotokea matatizo wapinzani hutoa ushauri wa nini kifanyike lakini hawa wenzetu kazi yao ya kwanza huwa ni moja tu nayo ni kukejeli na kubeza mawazo ya wapinzani.

Hata hivyo,mambo yanapoharibika, hawa jamaa wana tabia ya kujirudi na kuchukukua ushauri wa upinzani kimya kimya na kuufanyia kazi tena bila hata shukrani.

Cha ajabu na kushangaza,mambo yakikaa sawa hawa jamaa wanaanza tena kukodolea macho na kisha wanharibu kwa kugawana kilicho cha wote utazani ni chao peke yao.

Wakishaharibu wanabaki kukodoleana macho na kulindana huku hawajui wafanyaje.Hapo tena wapinzani kwa uzalendo wao wanajitosa na kuingilia kati na kutoa mawazo mbadala ya namna ya kurekebisha hali hiyo.Kama kawaida yao, watawakejeli na kuwabeza wapinzani alafu kimya kimya tena wanachukua ushauri wao na wao kuongeza mawazo yao kidogo then wanarekebisha hali ya mambo inakaa sawa.

Mambo yakitengemea wanaanza tena kuvuna na kujigawia(si huwa mnamsikia mh. analalamika kila mahali ni dili tu,ukigeuka ni dili tu?) na mchezo unakuwa ni ule ule as a result katika maeneo mengi kama Taifa tunajikuta tunapiga "mark time" tu huku miaka inaenda.

Angalieni hata wanavyoiba sera za upinzani ingawa wanashindwa kuzitekeleza vizuri mpaka tuwasaidie mawazo.

Fanya utafiti kidogo utakubaliana na mimi na kwa kuanza fuatilia hili sakata la mdororo wa uchumi hapa nchini uone mawazo /solution zinatolewa na watu gani na hali ikitengemaa ni kina nani watakuwa wa kwanza kuharibu.
 
Bayyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,309
Points
2,000

Bayyo

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,309 2,000
kwa maana nyingine ni kejeli kwa Lowasa, Sumaye, Kingunge And Et Al. kwa maana hao pia wamehudumu ccm mda mrefu tena nyadifa kubwa ndani ya serikali na chama pia. gafla leo wamegeuka malaika kisa wapo upinzani! unapoikejeli ccm usiwasahau hao mliowachukua 2015 kutoka ccm
 
Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
2,206
Points
2,000

Mzee wa Masauti

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
2,206 2,000
kwa maana nyingine ni kejeli kwa Lowasa, Sumaye, Kingunge And Et Al. kwa maana hao pia wamehudumu ccm mda mrefu tena nyadifa kubwa ndani ya serikali na chama pia. gafla leo wamegeuka malaika kisa wapo upinzani! unapoikejeli ccm usiwasahau hao mliowachukua 2015 kutoka ccm
ndo mana wamehama
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,619
Points
2,000

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,619 2,000
Ndio kilichotokea kwenye sera ya Elimu bure kwa shule za msingi na sekondari...

Kiukweli sera hii serikali wameibeba kutoka upinzani na nakumbuka sera hii ilianzia CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2010. Na ndio mana wakati wa kampeni za 2015 zilipoanza CCM, aliyekuwa akiitamka sera ya Elimu bure alikuwa ni JPM mwenyewe, wengine walikuwa hawaisemi maana sina uhakika sana kama ilikuwa kwenye manifesto yao na pia walikuwa hawana uhakika kama wataitimiza.

As a result hii sera ya Elimu bure kwenye kuitekeleza hivi sasa inawapa shida sana. Changamoto kila siku haziishi. Na kiukweli SIIONI hii sera kwa upande wangu ikileta positive results rather italeta matokeo ambayo ni very negative.

Elimu bure ni kama imefeli na inakwenda kufeli kwa kukupa mfano mmoja tu. Madai ya walimu kwa serikali ni mengi, ni makubwa na ya siku nyingi. Kwaiyo sera elimu bure ipo pale lakini walimu wakiwa very down ( hawana morali ya kazi) kwenye ufundishaji kutokana na malimbikizo ya Madai yao ya miaka na miaka.

Ni mara Mia serikali ingekaa chini na walimu kwanza kusettle Madai yao ili kurudisha ile morali yao ya kufundisha kwanza. Sasa walimu wanajua kabisa kwenye elimu bure serikali inaingia gharama kubwa, wanaona kabisa Madai yao yamedharauliwa na serikali imejiingiza kwenye gharama mpya ya Elimu bure.

Ndio shida ya kuparamia sera za watu ( wapinzani) bila kujipanga.
 
Alafu wao wanapeana matumaini eti nidhamu imerudi!!!Sijui huo utafiti waliufanyia wapi mpaka wakaja na hii conclusion kuwa nidhamu imerudi.Nidhamu bila morali ya kazi wapi na wapi?!
 
Hakuna cha nidhamu imerudi wala nini...
Kwa mfano Elimu yetu ndio inaZidi kwenda down kabisa pamoja na kwamba ni ya bure.
 
Marlex Jr El

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Messages
1,344
Points
2,000

Marlex Jr El

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2015
1,344 2,000
Ndio kilichotokea kwenye sera ya Elimu bure kwa shule za msingi na sekondari...

Kiukweli sera hii serikali wameibeba kutoka upinzani na nakumbuka sera hii ilianzia CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2010. Na ndio mana wakati wa kampeni za 2015 zilipoanza CCM, aliyekuwa akiitamka sera ya Elimu bure alikuwa ni JPM mwenyewe, wengine walikuwa hawaisemi maana sina uhakika sana kama ilikuwa kwenye manifesto yao na pia walikuwa hawana uhakika kama wataitimiza.

As a result hii sera ya Elimu bure kwenye kuitekeleza hivi sasa inawapa shida sana. Changamoto kila siku haziishi. Na kiukweli SIIONI hii sera kwa upande wangu ikileta positive results rather italeta matokeo ambayo ni very negative.

Elimu bure ni kama imefeli na inakwenda kufeli kwa kukupa mfano mmoja tu. Madai ya walimu kwa serikali ni mengi, ni makubwa na ya siku nyingi. Kwaiyo sera elimu bure ipo pale lakini walimu wakiwa very down ( hawana morali ya kazi) kwenye ufundishaji kutokana na malimbikizo ya Madai yao ya miaka na miaka.

Ni mara Mia serikali ingekaa chini na walimu kwanza kusettle Madai yao ili kurudisha ile morali yao ya kufundisha kwanza. Sasa walimu wanajua kabisa kwenye elimu bure serikali inaingia gharama kubwa, wanaona kabisa Madai yao yamedharauliwa na serikali imejiingiza kwenye gharama mpya ya Elimu bure.

Ndio shida ya kuparamia sera za watu ( wapinzani) bila kujipanga.
Ahsante sana nitaongezea kidogo hii elimu bure sijui aina fungu la ujenzi japo ukirejea maelezo ya chawene alisema asilimia 15 ya pesa inayotolewa ni kwa ajili ya ukarabati na vitu kama hivyo (kama sijakosea) sasa kali ya mwaka ni uku niliko wazazi wa wanafunza shule moja ya msingi wameambiwa kuchangia mifuko miwili ya saruji, ni lazima si hiari.
Sasa jiulize kula ya mwananch huyo tu ni tabu iweje apate 40 elfu ya saruji.
Mungu okoa taifa lako.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,619
Points
2,000

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,619 2,000
Ahsante sana nitaongezea kidogo hii elimu bure sijui aina fungu la ujenzi japo ukirejea maelezo ya chawene alisema asilimia 15 ya pesa inayotolewa ni kwa ajili ya ukarabati na vitu kama hivyo (kama sijakosea) sasa kali ya mwaka ni uku niliko wazazi wa wanafunza shule moja ya msingi wameambiwa kuchangia mifuko miwili ya saruji, ni lazima si hiari.
Sasa jiulize kula ya mwananch huyo tu ni tabu iweje apate 40 elfu ya saruji.
Mungu okoa taifa lako.
Inahuzunisha sana Mkuu..
 
Forum statistics

Threads 1,379,341
Members 525,396
Posts 33,743,730
Top