Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Mafua tu unataka tufungiwe ndani!!
Muda mwengine ukiona unalalama juu ya jambo fulani huenda wewe mwenyewe ndo umeshindwa kufanya yako unaangalia ya mwenzako!
Mkuu hama nchi Tanzania inaelekea kuwa failed state kwasababu ya corona unaoathiri uchumi!!
Hatofika hukoAkiendelea baada ya October mwaka huu, tutakuwa a failed state beyond repair
Tukimchekea anafikaHatofika huko
Coronavirus imesababisha uchumi wa nchi kadhaa duniani kuyumba. Serikali mbali mbali duniani zinahaha kutafuta njia za ku-mitigate athari za ugonjwa huu (Italia sasa hivi nchi nzima ipo kwenye karantini).
Njoo kwetu sasa; nini kinafanyika? Obsession juu ya CHADEMA (wasifanye shughuli zao zinazoruhusiwa kikatiba ili jiwe asalie madarakani). Hakuna strategies zozote za kukabili inherent economic risks zitokanazo na muingiliano wa watu kutoka mataifa mbali mbali.
Kama ilivyo kwenye "miradi" inayopigiwa kelele kutangaza "mafanikio" ya awamu ya tano; this country is DOOMED. Ulaaniwe jiwe wewe, vizazi vyako na washirika. Wako.
It is a failed state mzee!
Hakuna Bunge,hakuna Mahakama,kuna executive who shits on everybody else!
No checks and balances!
Hakuna proper functioning state hapo!
Mkuu hao lumumba fc kazi yao ni kusifia tuTafuta kwenye uzi huu mahali nilipoandika habari za kutaka tufungiwe ndani halafu nionyeshe.
Kwa akili hii wewe lazima ni mataga; ni mataga tu ndio hukurupuka kujibu bila kusoma kwa makini kilichoandikwa.