Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
hapo mkuu naona umegusa chanzo kikubwa cha matatizo ya siasa za Tanzania. Tunalazimisha sana muungano na Zanzibar (sijui sababu za kihistoria, siasa nk nk nk) lakini ni kweli hizi sababu hazipo kwa nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Malawi na Mozambique!!??? ...au hata Comoro, Seychelles, Madagascar, Reunion? HUU MFUMO WA SASA UNATUKWAMISHIA KATIKA MAENDELEO YA KUFIKIRI. Tumeona mfano Hamad Rashid na CUF walivyo divert mjadala wa ufisadi mpaka udini wakati hili lilikuwa ni tatizo la msingi.
acheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana
na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?
mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?
jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)
Ishu siyo ukubwa wa eneo la nchi, tatizo hapa ni vipaumbele walivyonavyo wazanzibar ukilinganisha na tulivyonavyo watanganyika....hapa watanganyika tunaonewa na hatutambuliki and tanzania is not one country, it's two nations asee tanganyika na zanzibar ambapo watanganyika wamesahauliwa.
acheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana
na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?
mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?
jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)
hapa ndipo tunasema kuna tatizo, ukweli uko wazi kuwa hao wakaazi 900,000 (sijui 1m....) zaidi ya nusu yao wako/wanaishi bara lakini it does not work the same kwa wabara (nisiseme Watanganyika kuchochea!) na hicho unachosema basi bara pia iwe na wajumbe katika bunge la WAWAKILISHI kuyapa nguvu madai yako! Ukisema mazao ya katiba ya 77 ndio huo utata wenyewe na kuendelee nayo inamaanisha kuendelea kupiga hatua nyuma badala ya mbele! just be considerate in your argumentsacheni kutumia tumbo katika kufikiri, Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni zalio la Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika. na zilipoungana nchi hizi mbili zilikuwa huru na kama nchi hatuangalii idadi ya watu katika kuungana
na katiba ya mwanzo ya mwaka 77 pia iliundwa kwa idadi sawa ambayo kamati yake iliongozwa na Marehemu Thabit Kombo(kama sijakosoa kuhusu Mwenyekiti au katibu) mbona huko hakujapigiwa kelele iweje leo kurejea tu mfumo ambao tumetumia iwe zogo?
mnataka kusema kwa vile Tanganyika kubwa mara nyingi kuliko Rwanda au Burundi, kwenye EAC watanganyika wapewe wajumbe zaidi au wataporeview katiba ya EAC watanganyika wawe na wawakilishi wengi kwa kuwa wao wana eneo kubwa na wana watu wengi?
jamani tuacheni kupenda dhuluma na kufikiri zanzibar ni kama Mbagala ati kwa kuwa wana eneo dogo na watu kidogo (maana watu ingekuwa ni hoja UN wangewapa CHINA viti zaidi ya kimoja)
Kama si kufikiri kwa tumbo basi Zenj ndo walianza kulia lia sana na masuala ya muungano.
Ni azi kuwa tuna wabeba sana hawa jamaa ambao kimsingi ni wavivu wa kupindukia.Halafu mbona wanalilia nafasi za ajira huko bara wakati huko Zenj hawataki watu wa bara.
Wana msingi wa chanu changu, chako chetu.
Tushauchoka muungano wa kunyonyana huu.
kama mmechoka amueni basi nn kifate, si kulalamika tu. wavivu wazanzibar halafu wanaomba kazi na mnawapa, sasa logic inaonyesha ni watendaji wazuri na ndio mkawaajiri. kuhusu kuwa wazanzibar wa changu ni changu hili halina ukweli, wazanzibari wamevumilia mengi, wameporwa vyao vingi na wakavumilia
kwenye rasili mali kama madini watanganyika wanasema za muungano baada kusikia fununu za zanzibar kuwa kuna mafuta, wakati miaka yote dhahabu, almasi na nyengine ndugu zetu wakila peke yao, nani changu changu ? Michezo si jambo la muungano watanganyika wanajiwakilisha ktk mambo kimataifa kwa mwamvuli wa Muungano na wazanzibar wametulia kimya.
kwenye mambo ya kimataifa kwa muda mrefu watanganyika waniwakilisha jamhuri ya muungano kwa wingi kuliko hata wazanzibar na wako kimya wakisema tu wataonekana wabaya.
kiamzoea muungano huu mmoja ana haki zaidi juu ya mwengine na huyu muonewa akisema anaonekana mbaya.
Mojawapo ya mambo yaliyonichefua kwenye muswada wa katiba ni pamoja na Part III hasa section 5 na 6. S.6 inasema kuwa wajumbe wa tume watatoka pande zote za muungano kwa idadi sawa (yaani kama wajumbe ni kumi basi Zanzibar watoke 5 na Bara watoke 5), ukienda mbele zaidi unaona kuwa maamuzi ya watu wa Bara yanaamuliwa na Wazanzibari.
Bunge letu lina wabunge takribani 360, kati ya hao zaidi ya 75 wanatoka Zanzibar (kama asilimia 20 hivi) sasa hili suala la katiba kwa nini tusitumie uwiano wa wabunge au hata uwiano wa watu, je kwa nini serikali yetu inabembeleza sana huu muungano?
Nadhani inabidi hii ipingwe kwa nguvu zote na wabunge wa bara maana huku si kuimarisha muungano bali kuendekeza upendeleo ambao nisingependa kuutaja hapa
Mkuu.Usiwe na wasi wasi mkuu, kwamba tumeshawachoka hilo ni dhahiri, sasa hivi ni wakati wa kuhamasishana ili wabara wafahamu kinaga ubaga jinsi tunavyochukuliwa kama mazezeta.
Muda ukifika mtu hafukuzwi , ataondoka mwenyewe kurudi kwao.
Likindo.hapa ndipo tunasema kuna tatizo, ukweli uko wazi kuwa hao wakaazi 900,000 (sijui 1m....) zaidi ya nusu yao wako/wanaishi bara lakini it does not work the same kwa wabara (nisiseme Watanganyika kuchochea!) na hicho unachosema basi bara pia iwe na wajumbe katika bunge la WAWAKILISHI kuyapa nguvu madai yako! Ukisema mazao ya katiba ya 77 ndio huo utata wenyewe na kuendelee nayo inamaanisha kuendelea kupiga hatua nyuma badala ya mbele! just be considerate in your arguments
Usiwe na wasi wasi mkuu, kwamba tumeshawachoka hilo ni dhahiri, sasa hivi ni wakati wa kuhamasishana ili wabara wafahamu kinaga ubaga jinsi tunavyochukuliwa kama mazezeta.
Muda ukifika mtu hafukuzwi , ataondoka mwenyewe kurudi kwao.
Astakafirulahi!!!Mkuu.
Mimi napinga matumizi ya jina hilo.
Tutumie watanganyika. Kweli tumechakachuliwa kama mazezeta kiasi ambacho tunaogopa kutumia Tanganyika na watanganyika. Nani katuchakachua?
Kwani nani waliungana? sio watanganyika na wazanzibari? Tanganyika na Zanzibar?
Sasa hili Tanzania bara au wabara limetoka wapi?
Kwa nini tunakubali kuchakachuliwa? Au ndio tumekuwa mazezeta?
Mkuu Lole nitaangalia michango yako, ukishindwa kutumia Tanganyika na Watanganyika nitajua kuwa "uzezeta" umeukubali.
Tuelimishe Watanganyika wenzetu wajielewe.