Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 111
Kuna siku nilikuwa na jamaa ambao ni wanajeshi wa Tanzania na palikuwa na mabishano kuwa kenya wana ARMY lakini Tanzania tuna DEFENCE FORCE na jeshi letu lipo weak kulingana na kenya.
wikippedia mkuu, ha ha ha ha ha haziaminikiMWANA WA UFALME; Hizi data umezitoa wapi, na una uhakika gani kama ni za kweli?
Vita ya nini jamani,si tuwaroge tu.
mkuu you just made my day.......haya sasa, hiyo makitu ndiyo inakuwaje sasa? Maana sheikh yahya ashafariki na sijui nani mchawi mwingine maarufu
lol!
Ni mambo kadhaa ikiwemo:-
1. idadi ya wanajeshi,
2. vifaa vya kijeshi,
3. ujuzi na maarifa,
4. uzalendo wa wanajeshi na raia wake hasa katika kujitolea vifaa vya kulisaidia jeshi kama vile mabasi ya kuwasafirisha wananjeshi kwenda uwanja wa mapambano.,
5 kujua nguvu ya adui ..nk.
Idadi ya watu inahusika sana kwenye vita kama mnabisha muulizeni USA alichokipata Vietnam!
Ashakum si matusi, ni muhimu pia kujua idadi ya wapiganaji ******* kwenye jeshi la kila nchi. Hii ni factor muhimu sana katika ku-determine uwezo (ukakamavu, n.k.) wa wapiganaji. By the way si nasikia Malawi imehalalisha rasmi usenge and ushoga? Kama ndivyo, itakuwa advantage sana kwetu. I am trying o think from all possible angles.
Mkuu ni vyombo na taaluma!!jeshi dogo lenye vyombo vya kisasa!Nguvu inakuwa determined na idadi wa wanajeshi ama?
Millitary spending ya Tz sio kubwa sana (around 0.2% YA GDP (ipo around 64.7 billion dollars)= about $129 million), ya mlw ni 1.3% ya GDP (about 14 billion dollars)= ni kama about $192 million hivi). But inabidi ujue hiyo expenditure ni ya vitu gani, which is more relevant question.
I do wonder, with my eyes wide open, MATHEMATICS IS A NATIONAL SICKNESS......Millitary spending ya Tz sio kubwa sana (around 0.2% YA GDP (ipo around 64.7 billion dollars)= about $129 million), ya mlw ni 1.3% ya GDP (about 14 billion dollars)= ni kama about $192 million hivi). But inabidi ujue hiyo expenditure ni ya vitu gani, which is more relevant question.
kweli mama porojo vita si jambo iema lakini vita ya kifala kama na ya malawi ni muhimu sana maana mtu akidai mkeo demu wake wewe utafanyaje hawa jamaa ni kuchapa tu tueshimiane ati kwa kuwa wao ni wanyasa basi ziwa lao ebo na sisi watanganyika tusemaje na lake tanganyika wapuuzi sana wapigwe tuNaamini malawi watajua hili kama watalianzisha game.... hata hivyo vita si jambo jema... tushirikiane kuepusha vita hii.
ha ha hakwellakini vita ya kifala kama na ya malawi ni muhimu sana maana mtu akidai mkeo demu wake wewe utafanyaje hawa jamaa ni kuchapa tu tueshimiane wapuuzi sana wapigwe tu