johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,095
- 164,434
Nchi yetu ina aina ya kodi na tozo zaidi ya 52, na hivi ndio vyanzo vikuu vya mapato ya serikali.
Wewe kama mlipa kodi una maoni gani juu ya mfumo wa ulipaji kodi ktk nchi yetu?
Ni kodi ipi unayoiona kama kero kwa jamii, tutajie tupate fursa ya kuijadili.Mfano wa kodi maarufu ni kama Vat, Paye, custom duties, property taxes, ada za leseni nk, nk.
Paye ndio kodi pekee inayotozwa na kulipwa kwa usahihi zaidi, nyinginezo zimetawaliwa na figisu za hapa na pale.
Karibuni kwa mjadala ili wanasiasa wetu pale bungeni waweze kusikiapo sauti zetu.