Tanzania in top ten must visit places 2012.

Yeaaah hatua nzuri,Serikal na wananchi wa kawaida tujitahidi kujenga taifa pamoja
 
What a gem. Someone please help me find Kenya among the 45 places to visit in 2012. I have seen Tanzania somewhere in the top and Uganda at position 33. I do not seem to find Kenya.

http://travel.nytimes.com/2012/01/08/travel/45-places-to-go-in-2012.html?pagewanted=1&_r=2

This is what the article says on Tanzania

7. Tanzania

Coming into its own as an upscale safari destination.

For the last several years the number of tourists going to Tanzania has been edging up, according to East African travel specialists like Hippo Creek Safaris and Abercrombie & Kent. But it wasn’t until several violent attacks on visitors to neighboring Kenya that the numbers really took off, as Tanzania started to absorb skittish Kenya-bound safari seekers.

Not that Tanzania is coasting along solely on Kenya’s troubles; it’s always had Mount Kilimanjaro, after all. And now other attractions are being discovered, too — places likeGibb’s Farm, a small lodge from which guests can hike to the Ngorongoro Crater area, a prime destination for big game viewing. In addition, the opening of exclusive safari reserves like the Singita Grumeti and the upscale camps managed by Nomad Tanzaniaand Chem Chem are evidence that the country’s tourist infrastructure is becoming more sophisticated, perhaps even catching up to Kenya’s. GISELA WILLIAMS
__________________________________________________________________________________________________
Apparently big brother is losing it kwa sababu anapenda vurugu zaidi.
 
Lakini Tanzania iwe na ubunifu zaidi, kwa mfano, Botswana wana safari kwa kutumia ndovu waliozoeshwa. Kwa nini Tanzania hawafanyi hivi? Ni kiasi cha kuwaajiri Wahindi 20 tu kufunza ndovu kama 100 truuup, aina nyingine ya kivutio inaanza! Wahindi pia wanaweza kuwafunza nyati-buffalo-wetu.
Pia mbugani twaweza kukataza gari zinazotumia mafuta na kuruhusu tu gari zinazotumia umeme (electric cars) Hii pia itaweza kuwakomoa tour operators wa nchi jirani!
 
Niliiona since last December, lakini sifurahii coz every step we make one compares us with Kenya, an old, hungry and sick man. We need to be compared with younger and energetic people like Botswana, Namibia, South Africa and the like...... but not a failing state....
 
Huu ubunifu umepita kiasi. Mhindi gani atamkaribia tembo wa afrika au nyati wa afrika licha kumfundisha chochote? sasa hiyo ya electric cars porini ndio imeniacha hoiiiiiiiiiiiii!
 
Niliiona since last December, lakini sifurahii coz every step we make one compares us with Kenya, an old, hungry and sick man. We need to be compared with younger and energetic people like Botswana, Namibia, South Africa and the like...... but not a failing state....

True, japo kama failing state ipo mbele inabidi kuwapita kwanza ili kuelekea Botswana na wengineo.
 
Back
Top Bottom